Recent content by MWANASIASA HURU

  1. MWANASIASA HURU

    Nimetubu ila doa la dhambi hii linanitesa sana

    Naona viashiria vya kampeni chafu God forbid!!! :mad::mad:
  2. MWANASIASA HURU

    Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

    Ingawa huu si utetezi wa alichokifanya, bali nawaza tu. Kwani PHD yake inahusiana na mambo ya lugha? Tunampimaje kuunganisha PHD na ufasaha wa lugha ya kigeni? By the way, kumasta lugha fulani lazima uweke bidii fulani na pia uwe unazungumza. Otherwise utakua na ze, ze nyingi na viunganishi...
  3. MWANASIASA HURU

    Wasichana wazuri wote wana watoto. Kazi kwenu waoaji

    Mkuu, sijapanic ila inaweza kuonekana hivyo kulingana na nilinyoandika. Kuhusu dini sio issue ndio maana nikasema kama unamwamini, hapo nimekuweka huru tu nikiwa na maana kuwa sio lazima uapply hicho kigezo, na pia hii inaweza kumfaa anayeamini. Na najua wazi kuwa tuna imani tofauti. Usifungwe...
  4. MWANASIASA HURU

    Wasichana wazuri wote wana watoto. Kazi kwenu waoaji

    :mad::mad: hii haikubaliki, unatoaje namba ya simu ya mtu kirahisi hivyo kwa uma kama huu? Hapo ni sawa na kufunga mbuzi kwenye kibanda cha mabanzi katikati ya mbuga ya serengeti halafu unaweka mlango wa grill. Kama utanielewa ifute hiyo namba au post yako yote kumstahi huyo mhusika. Tuwe...
  5. MWANASIASA HURU

    Wasichana wazuri wote wana watoto. Kazi kwenu waoaji

    Hivi wewe jamaa una shida gani? Kuna yapi yamekukute hivi karibuni? Unataka nikupe wangapi??? sema sasa hivi na unihakikishie kuwa utawaoa au utamuoa??? Tuliza akili kijana, acha kujilisha upepo, wanawake wako wengi kuliko akili yako ilivyokariri, na ni wazuri wa sura mpaka tabia. Unakwama...
  6. MWANASIASA HURU

    Wasichana wazuri wote wana watoto. Kazi kwenu waoaji

    Mkuu, umefanya utafiti wowote kuhusu hili? je utafiti wako uemjikita maeneo gani? Je, unafahamu idadi ya wanawake nchini mwetu? Je, unaweza kutupa ushahidi wowote? usije kuwa umepitapita kwenye baadhi ya familia mtaani kwenu unavizia watoto wa watu unakuta kawaiwa au wale unaowajua ndo...
  7. MWANASIASA HURU

    Ushawahi kumuuguza mtu mwenye matatizo ya akili?

    Manengelo! Manengelo! Manengelo! Hivi una nini lakini? Kwa hiyo kuna vichaa humu?????? Nimecheka sana sijui kwanini. Kama vile unaongea kwa machungu na upole huku unashusha kibomu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  8. MWANASIASA HURU

    Mtu mwenye degree anapoenda kujifunza kazi ya waliokosa Elimu ni ujumbe gani tunapata kuhusu Elimu yetu?

    Kumbuka kuwa elimu ni ufunguo wa maisha, sasa amepata ufunguo anahitaji akaanze maisha. Kwa kifupi elimu yetu haitupi ujuzi wa moja kwa moja au haitupi mbinu za kutumia kwenye jamii moja kwa moja kutatua changamoto za maisha. Mfumo huu unhitaji ubadilishwe, kinachohuzunisha ni kwamba sioni...
  9. MWANASIASA HURU

    Hii ndoto ina maana gani ndugu zangu

    Pole sana, ndoto yako ina sehemu mbili. 1. Umezikwa halafu ukaamka na kusimama then aliyekuzika anatimua mbio, kwenye ulimwengu wa roho huu ni ushindi, aliyekua anakuandama ameshindwa ila simama kwenye maombi. Mtukuze Mungu aliyekushindia yote. 2. Kulishwa vyakula ukavitema na kutapika, vyakula...
  10. MWANASIASA HURU

    Maisha yamenipiga sana ila ninataka kutengeneza 50m kabla ya mwaka huu haujaisha

    Natamani, ungepata fursa utuletee mrejesho bila kuficha chochote. Hakika utafunza wengi mengi. Tunakusubiria 🙂
  11. MWANASIASA HURU

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Daaah! umeamsha hisia za wengi haswa. Ndege wawili at a go? Hii funiko bovu aisee. Big up sana
Back
Top Bottom