Recent content by MWANANGUTA

  1. M

    Tishio dhidi ya viongozi wa CHADEMA:Kamati kuu yakutana.

    Jamaawana mbinu chafu dhidi ya chama chetu makini cha CHADEMA ila naamba sana watanzania tuombe mungu wasiwadhuru viongozi wetu makini. Dr. Slaa ni mtu muhimu sana katika chama na taifa nani asiyejua kama nchi inaongozwa na viongozi hawa hasa Dr. Slaa maana anatoa maelezo mengi na serikali...
  2. M

    Joshua Nassari MB.

    Kwa kweli kucheza na mjinga sio kazi kama polisi wameweza kutumia masaa sita kumhoji Nassari kweli hatuna jeshi la polisi bongo mana mambo kama haya ndo wanaweza kushadadia,Lusinde matusi ya nguoni alitukana wapi kama sio Arusha?au matusi sio uchochezi?mnaboa sana polisi wa bongo.:hat:
  3. M

    Joshua Nassari MB.

    Leo baada ya mahojiano na polisi Arusha mjini zaidi ya masaa sita,Nassari akiongea na waandishi wa habari alisema "Mimi ni mdogo,kama ninauwezo wa kuigawa nchi hii basi nchi hii haikupaswa kuwepo" Source;ITV News 2000hrs*
  4. M

    Chadema yawasha moto Mkoa Mpya wa NJOMBE

    Waache wafurahie UKOMBOZI,MANA NCHI YAO UKOMBOZI NI WAO,MUNGU AWAPE NGUVU.
  5. M

    Kijana aliyeisambaratisha CCM jimbo la Mbozi Magharibi, ahamishia majembe Mbozi Mashariki

    Kaka tunawaombea wenzetu huko mliko lakin kuweni makin jamani na usalama mana CCM hawana mazuri nasi,Mungu awalinde,msichoke kuwakomboa watu kifikra.
  6. M

    Wanahabari wa Iringa kumuweka kitimoto Mbunge wa Iringa Mjini!

    Niseme tu ukweli ni mapema sana Waandishi wa habari kuwachonganisha watu wa IRINGA na mbunge wao Msingwa kwan ni mtu makini,tatizo ninaloona hapa baadhi ya watu wa Iringa mama Mbegga aliwazoesha vibaya kuwanunulia pombe watu na sio maendeleo hivyo kuwafanya waamini Msigwa afanyi maendeleo.Mimi...
  7. M

    Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

    TUNAOMBA MTUJUZE KUHUSU DR MBASSA MANA HATUNA RAHA.ASANTE.:help:
  8. M

    Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

    We are very far friends lakini tunafatilia kesi ya kijana mwenzetu mpigania haki kuweni serious.
  9. M

    Mchanganuo wa gharama ya Safari ya Rais Kikwete huko Brazil huu hapa

    Nilipoona taarifa hii nimekumbuka kijijini Mngeta-Mchombe na maeneo ya jirani kwetu wakinamama wajawazito wanavyojifungulia njiani kisa barabara mbaya,yani natamani kulia,anachofanya anajikomoa.WATANZANIA TUAMKE NA TUSEME BASI KWANI RAIS KWA MADUDU HAYA ANAWEZAJE KUWAWAJIBISHA MAWAZIRI...
  10. M

    Mchanganuo wa gharama ya Safari ya Rais Kikwete huko Brazil huu hapa

    Nilipoona taarifa hii nimekumbuka kijijini Mngeta-Mchombe na maeneo ya jirani kwetu wakinamama wajawazito wanavyojifungulia njiani kisa barabara mbaya,yani natamani kulia,anachofanya anajikomoa.WATANZANIA TUAMKE NA TUSEME BASI KWANI RAIS KWA MADUDU HAYA ANAWEZAJE KUWAWAJIBISHA MAWAZIRI...
  11. M

    TETESI: Mheshimiwa Lusinde kuukwaa uwaziri.

    Niwachane...........!nisiwachane!?ukiona atatema mate?ujue CCM,akawe waziri wa Wambea kwani alikiri Clous kwamba anaongea uongo.Jimbon Mtera 2015 ataaga.
Back
Top Bottom