Recent content by Mwananchi Mwandamizi

  1. M

    Mafunzo maalum kwa wakazi wa mji wa Morogoro na vitongoji vyake

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia threads zako hapa JF. I believe u have got a something to share nasi. Nihesabu kama mshiriki. Pia Asante
  2. M

    Anahitajika Mwalimu wa Madereva Haraka

    Habari wadau. Tuna hitajio la Mwalimu wa Madereva (Drivers Instructor) katika taasisi yetu ya (Women on Wheels-Africa) SIFA ZA MUOMBAJI -Awe na uthibitisho wa ualimu wake (Driving Instructor's Certificate Of Registration) uliotolewa na NIT -Awe na nidhamu ya kazi na record nzuri katika...
  3. M

    Dereva Mzoefu na Muaminifu Anapatikana.

    Hello JF Members. Husika na kichwa cha habari hapo juu. Kwa mwenye mahitaji ya dereva muaminifu na mwenye uzoefu, basi amepata. SIFA ZA DEREVA -Ana uzoefu usiopungua miaka 10 katika uendeshaji wa magari makubwa na madogo, na hajawahi kupata/kusababisha ajali. -Kiwango cha elimu ni darasa la...
  4. M

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Bavaria Katika comments zako za nyuma, ulipata kusema umekuwa ukitumia FNB (Bank) katika trading. Concern yangu ni kwamba; wakati nafanya deposit kwa broker, akaniambia VISA card yangu haiko 3D secured, hivyo napaswa ku-authorise kwa kuweka exactly amount ambayo itakuwa deducted from my...
  5. M

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu Ontario shukrani sana kwa elimu hii. Pia nitoe shukrani kwa Mkuu Bavaria katika kutuongezea ujuzi juu ya jambo hili. Binafsi ningependa kutoa my progress juu ya kitu hii, kwa lengo la kusahihishwa ikiwa ninakosea na kuelekezwa namna ya kufanya vyema zaidi. Nilifungua demo account na...
  6. M

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    FOREX haijawahi muacha mtu salama Nime-set deposit amount ya $ 50 kwa demo, within few seconds nikaipeleka mpaka $70 Few seconds later, nikaichoma yote. Nlichogundua kwa hii kitu, ni vyema sana uka-stick na ur TRADING PLAN, haijalishi soko linakujia na vishawishi gani.
  7. M

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Forex traders Naombeni mnisaidie kiufahamu. Nimefungua accounts 2 za demo, moja nliset $50 pia nikachagua leverage ya 1:200, account balance ikasoma $10,000 (kwa maana $50 *200) Account ya pili nimeset $100 na leverage nikachagua 1:50, BUT account balance inasoma $100 HUU UTOFAUTI WA ACCOUNT...
  8. M

    Unahitaji dereva? Umempata

    Habarini wapendwa Napenda kuchukua nafasi hii; ili kuwasilisha taarifa za mpendwa hapa chini. "Mimi ni kijana wa kiTanzania mwenye umri wa miaka 45, nina uzoefu was zaidi ya miaka 5 katika udereva wa magari. Ninamiliki Driving License Class E. Najitokeza kwenu kwa ajili ya kutafuta nafasi ya...
  9. M

    Mbinu za kupata fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi

    Ikiwa nahitaji kuandaliwa andiko pia kujaziwa fomu kwa ajili ya kupeleka Foundation For Civil Society kwa round hii ya kwanza, ina-cost kiasi gani Kiongozi?
  10. M

    Nimeona nitumie njia hii kupata mtaji. Potelea mbali

    Kifupi huu ni utapeli, Jaribu kuvaa viatu vya hao unaotaraji kuwaomba mchango kwa kuwalaghai, utajihisi vipi baada ya mtu kuchukua pesa yako akikuambia ni mchango wa harusi, kumbe kaenda kutengeneza maisha na mkewe? Kumbuka these stuff have gotten opposite reactions.
  11. M

    Hello blogger, unahitajika

    Shukrani Mkuu. Nitazingatia ushauri wako
Back
Top Bottom