Recent content by MWANAJILALA

  1. M

    Serikali ya wanyonge imulikeni haraka PSSSF kabla hawajawavuruga watumishi na Serikali. Kanuni yao haivumiliki

    (a) Hatua ya kuunganisha mifuko ya pensheni ya PSPF, PPF, GEPF na LAPF na kuunda Mfuko wa PSSSF ni nia njema ya Serikali kuyafanyia kazi malalamiko ya muda mrefu ya wafanyakazi kutaka mifuko hiyo iinganishwe ili kupunguza gharama za uendeshaji na kuondoa changamoto mbalilmbali zilizo kuwepo...
  2. M

    Tafsiri potofu kuhusu Muswada wa Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii

    Kumekuwa na tafsiri potofu kuhusu Muswada wa Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (The Public Service Social Security Fund Act, 2017), inayotolewa aidha kwa bahati mbaya au kwa lengo la kupotosha maudhui ya Muswada huo kuwa unakusudia kutoza kodi mafao ya Wastaafu, kubagua...
  3. M

    Uzushi kuhusu Mswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Hifadhi ya Jamii

    Tunachangia katika mifuko ya Hifadhi ya Jamii kama kinga ya kujilinda dhidi ya majanga ya kiuchumi na kijamii yanayosababishwa na kukoma au kupungua kwa kiasi kikubwa cha kipato kutokana na Maradhi, Uzazi, Kuumia kazini, Ukosefu wa ajira, Ulemavu, Uzee au Kifo QUOTE="Daud1990, post: 17549632...
  4. M

    Uzushi kuhusu Mswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Hifadhi ya Jamii

    Kumekuwepo na Uzushi unaonezwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mswaada wa mabadiliko ya sheria ya hifadhi ya jamii kupelekwa bungeni Uzushi huo unasema eti fao la kujitoa halipo kwenye mapendekezo hayo na badala yake limeletwa faola kutokuwa na ajira tunaomba watu wenye nia njema na sekta...
  5. M

    Hivi ukiacha kazi au kufukuzwa kazi, mfuko wa GEPF utakulipa fao lako la muda uliochangia?

    UFAFANUZI KUHUSU UHUSIANO WA FAO LA KUJITOA NA UWEKEZAJI WA MIFUKO KWENYE VIWANDA _______________________ 1.0. FAO LA KUJITOA Kumekuwa na minong’ono na hofu kwamba mapendekezo ya marekebisho ya Sheria za Mifuko yanalenga kuondoa fao la kujitoa ili kuwezesha utekelezaji wa maelekezo ya...
  6. M

    Waraka wa Mbunge Elibariki Kingu kwa Wabunge CCM kuhusu fao la kujitoa

    UFAFANUZI KUHUSU UHUSIANO WA FAO LA KUJITOA NA UWEKEZAJI WA MIFUKO KWENYE VIWANDA _______________________ 1.0. FAO LA KUJITOA Kumekuwa na minong’ono na hofu kwamba mapendekezo ya marekebisho ya Sheria za Mifuko yanalenga kuondoa fao la kujitoa ili kuwezesha utekelezaji wa maelekezo ya...
  7. M

    Rais Magufuli, Usiyapuuze haya mambo

    Serikali ilishasema mafao haya ya kujitoa yataendelea kutolewa mpaka hapo mbadala wake utakapopatikana (Unemployment Benefit) zingine zote ni uzushi mtupu, hiyo mifuko isiwasingizie SSRA waambieni wawape waraka kutoka SSRA inayowakataza kulipa hayo mafao
  8. M

    Sheria Mpya ya Fao la kujitoa (Withdrawal benefits) ya 2015 kwenye mifuko ya jamii ni pigo

    Serikali ilishatoa maelekezo kuwa mafao hayo yataendelea kulipwa mpaka hapo mafao mbadala yatakapoanzishwa (Unemployment benefit)
  9. M

    Sheria Mpya ya Fao la kujitoa (Withdrawal benefits) ya 2015 kwenye mifuko ya jamii ni pigo

    Jamani acheni kupotosha umma wa watanzania, hiyo taarifa inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii ni ya mwaka 2012, SSRA hawajatoa taarifa yoyote, hiyo mifuko inayowaambia kuwa ni agizo la SSRA hakikisheni inawapa huo waraka wa SSRA vinginevyo ni uzushi tu
  10. M

    Sheria Mpya ya Fao la kujitoa (Withdrawal benefits) ya 2015 kwenye mifuko ya jamii ni pigo

    Njaa ya Akili ni mbaya sana kuliko njaa ya chakula...nyie hao hao mnapigania usawa, inapofika kwenye usawa mnaleta ubinafsi,
  11. M

    Sheria Mpya ya Fao la kujitoa (Withdrawal benefits) ya 2015 kwenye mifuko ya jamii ni pigo

    Mtoa mada acha kutupotosha watanzania wa leo sio wa jana tuna uwezo wa kuchanganua mambo,ata kama sijaenda shule lakini iyo esabu yako siyo sahihi..rudi kwa aliekutuma akupe umbea vizuri ila uchukue kwanza hela yako maana atakukimbia
  12. M

    Sheria mpya ya mifuko ya hifadhi ya jamii,Wafanyakazi wa umma na wasio wa umma kufa masikini

    Mkuu yaani ukilala ukiamka unagongwa na kitu kama cha Million 60 pwaaaaaaa!!!! halafu kila mwezi utapata takribani 1m mpaka unaingia kaburini....
  13. M

    Sheria mpya ya mifuko ya hifadhi ya jamii,Wafanyakazi wa umma na wasio wa umma kufa masikini

    Mkuu, Kumbuka dhana ya Hifadhi ya jamii ni mfumo wenye lengo la kujikinga na majanga mbalimbali, kama vile maradhi, ulemavu, kifo, kustaafu ama kupoteza uwezo wa kufanya kazi kwa njia yoyote na siyo short term investment..kama ukusomeshawatoto, ukujenga nyumba,au kufanya maendeleo mengine ya...
  14. M

    Sheria mpya ya mifuko ya hifadhi ya jamii,Wafanyakazi wa umma na wasio wa umma kufa masikini

    Mleta hoja naomba urudi kwa aliekutuma mwambie akupe taarifa sahihi lkn icho unachofanya ni kupotosha umma wa watanzania!!! Kuhusu suala la kupeleka muswada wa sheria mpya ya mafao bungeni sio kweli kabisa nimekomfirm na vyanzo sahihi wamenithibitishia hilo, lakini kwa kukusaidia tu serikasli...
Back
Top Bottom