(a) Hatua ya kuunganisha mifuko ya pensheni ya PSPF, PPF, GEPF na LAPF na kuunda Mfuko wa PSSSF ni nia njema ya Serikali kuyafanyia kazi malalamiko ya muda mrefu ya wafanyakazi kutaka mifuko hiyo iinganishwe ili kupunguza gharama za uendeshaji na kuondoa changamoto mbalilmbali zilizo kuwepo...
Kumekuwa na tafsiri potofu kuhusu Muswada wa Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (The Public Service Social Security Fund Act, 2017), inayotolewa aidha kwa bahati mbaya au kwa lengo la kupotosha maudhui ya Muswada huo kuwa unakusudia kutoza kodi mafao ya Wastaafu, kubagua...
Tunachangia katika mifuko ya Hifadhi ya Jamii kama kinga ya kujilinda dhidi ya majanga ya kiuchumi na kijamii yanayosababishwa na kukoma au kupungua kwa kiasi kikubwa cha kipato kutokana na Maradhi, Uzazi, Kuumia kazini, Ukosefu wa ajira, Ulemavu, Uzee au Kifo
QUOTE="Daud1990, post: 17549632...
Kumekuwepo na Uzushi unaonezwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mswaada wa mabadiliko ya sheria ya hifadhi ya jamii kupelekwa bungeni
Uzushi huo unasema eti fao la kujitoa halipo kwenye mapendekezo hayo na badala yake limeletwa faola kutokuwa na ajira
tunaomba watu wenye nia njema na sekta...
UFAFANUZI KUHUSU UHUSIANO WA FAO LA KUJITOA NA UWEKEZAJI WA MIFUKO KWENYE VIWANDA
_______________________
1.0. FAO LA KUJITOA
Kumekuwa na minong’ono na hofu kwamba mapendekezo ya marekebisho ya Sheria za Mifuko yanalenga kuondoa fao la kujitoa ili kuwezesha utekelezaji wa maelekezo ya...
UFAFANUZI KUHUSU UHUSIANO WA FAO LA KUJITOA NA UWEKEZAJI WA MIFUKO KWENYE VIWANDA
_______________________
1.0. FAO LA KUJITOA
Kumekuwa na minong’ono na hofu kwamba mapendekezo ya marekebisho ya Sheria za Mifuko yanalenga kuondoa fao la kujitoa ili kuwezesha utekelezaji wa maelekezo ya...
Serikali ilishasema mafao haya ya kujitoa yataendelea kutolewa mpaka hapo mbadala wake utakapopatikana (Unemployment Benefit) zingine zote ni uzushi mtupu, hiyo mifuko isiwasingizie SSRA waambieni wawape waraka kutoka SSRA inayowakataza kulipa hayo mafao
Jamani acheni kupotosha umma wa watanzania, hiyo taarifa inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii ni ya mwaka
2012, SSRA hawajatoa taarifa yoyote, hiyo mifuko inayowaambia kuwa ni agizo la SSRA hakikisheni inawapa huo waraka wa SSRA vinginevyo ni uzushi tu
Mtoa mada acha kutupotosha watanzania wa leo sio wa jana tuna uwezo wa kuchanganua mambo,ata kama sijaenda shule lakini iyo esabu yako siyo sahihi..rudi kwa aliekutuma akupe umbea vizuri ila uchukue kwanza hela yako maana atakukimbia
Mkuu, Kumbuka dhana ya Hifadhi ya jamii ni mfumo wenye lengo la kujikinga na majanga mbalimbali, kama vile maradhi, ulemavu, kifo, kustaafu ama kupoteza uwezo wa kufanya kazi kwa njia yoyote na siyo short term investment..kama ukusomeshawatoto, ukujenga nyumba,au kufanya maendeleo mengine ya...
Mleta hoja naomba urudi kwa aliekutuma mwambie akupe taarifa sahihi lkn icho unachofanya ni kupotosha umma wa watanzania!!!
Kuhusu suala la kupeleka muswada wa sheria mpya ya mafao bungeni sio kweli kabisa nimekomfirm na vyanzo sahihi wamenithibitishia hilo, lakini kwa kukusaidia tu serikasli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.