Rv 4 kil time inauzwa
Bei ya mwisho ni 15m
Engine ni 3s (ya japan)
Transmission-manual
Ipo kwenye hali nzuri na haina tatizo lolote
Pm kwa details zaidi
I wonder what type of benefit the common visa will lead to member countries
Before ==== 150$ per a visitor
Now==== 100$ per a visitor for all countries
The average for what member earn if they choose to divide equally is 100$/3 = 33.33$
If Tanzania was to be added in to the equation it would...
Sioni kama kuna ubaya kwa hilo, ila kama wanafanya kukurupuka wasije wakajutia yanayoendelea ndani ya umoja wa Ulaya,
Tanzania inaweza kuchukua nafasi sawa na ya Uingereza katika muungano huu. Maana Uingereza ilikataa kuijiingiza moja kwa moja kwenye swala la sarafu na muingiliano wa watu...
Halafu utasikia serikali haina hela, kumbe zinachukuliwa kwa style ya panya,
Mtu anagundulika na madudu haya halafu anahamishwa kituo cha kazi badala ya kupelekwa kwenye mashtaka?. Inaonekana mtandao wa haya mambo ni mpana zaidi ya hawa watajwa maana kama wanaweza kulindwa kwa style ya...
Nimesoma gazeti la Tanzania Daima na wameeleza kwamba police walikuwa wanapanga kushirikiana na fbi kuficha ushahidi kwa kuituhumu cdm,
Zoezi hili la kutotaka ukweli ujulikane lina mkono mpana sana,
Kama Raisi angekuwa anahitaji kujua waliohusika asingekaa kimya. Maana kama waliweza kutoa...
Kwa hali ya uhasama inavyoanza kunyemelea nchi za maziwa makuu, pamoja na vita zinazoendelea kwa majirani zetu, it is more safe kutokuwa na huu umoja kwa sasa. Hivi karibuni tumekuwa tunashuhudia wimbi la wahalifu toka nchi za jirani. Je tukifungulia mipaka si ndio balaa.
Tunaweza kujifunza...
Kuna haja gani ya Polic kuja kwenye mikutano kwa nia ya kuleta fujo na si kulinda amani
Cdm itangaze kuwakataa polic kuwepo kwenye mikutano yao maana wana nia mbaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.