Search results

  1. MWANA WA UFALME

    Rav4 Kill time inauzwa

    Rv 4 kil time inauzwa Bei ya mwisho ni 15m Engine ni 3s (ya japan) Transmission-manual Ipo kwenye hali nzuri na haina tatizo lolote Pm kwa details zaidi
  2. MWANA WA UFALME

    Tanzania rejects EAC single tourist visa plan!

    I wonder what type of benefit the common visa will lead to member countries Before ==== 150$ per a visitor Now==== 100$ per a visitor for all countries The average for what member earn if they choose to divide equally is 100$/3 = 33.33$ If Tanzania was to be added in to the equation it would...
  3. MWANA WA UFALME

    Ratiba ya M4C- Operesheni Pamoja Daima, Ruvuma, Tabora na Tanga

    Hii operation itaichanganya sana police, maana wakitaka kuzuia goli upande huu, linafungwa kwa kisigino upande mwingine
  4. MWANA WA UFALME

    Nitarudi tena Marangu

    Mkuu karibu sana, huko ni home ulikofika, tunapenda sana wageni, usichoke kuja.
  5. MWANA WA UFALME

    Rv4 inauzwa

    Ipo around 100 000 miles Jephta2003
  6. MWANA WA UFALME

    Rv4 inauzwa

    Inaanzia 18 m Prince Hope
  7. MWANA WA UFALME

    Rv4 inauzwa

    specifications maker: Toyota model: Rv4 (kili time) no of doors: 5 fuel type: Petrol trans: Manual colour: Blue year: 2003 price: Negotiable
  8. MWANA WA UFALME

    Toyota Rav 4 for sale (kilitime)

    SJUMAA26 mimi ninayo RV4 kili time, ipo hapa bongo na ni manual, gari ni almost mpya, kama unataka ni pm tufanye biashara
  9. MWANA WA UFALME

    Kenya, Uganda, Rwanda Kufungua Mipaka

    Sioni kama kuna ubaya kwa hilo, ila kama wanafanya kukurupuka wasije wakajutia yanayoendelea ndani ya umoja wa Ulaya, Tanzania inaweza kuchukua nafasi sawa na ya Uingereza katika muungano huu. Maana Uingereza ilikataa kuijiingiza moja kwa moja kwenye swala la sarafu na muingiliano wa watu...
  10. MWANA WA UFALME

    TAKUKURU na Mwakyembe mnayajua haya kwenye bandari kavu (ICD)?

    Halafu utasikia serikali haina hela, kumbe zinachukuliwa kwa style ya panya, Mtu anagundulika na madudu haya halafu anahamishwa kituo cha kazi badala ya kupelekwa kwenye mashtaka?. Inaonekana mtandao wa haya mambo ni mpana zaidi ya hawa watajwa maana kama wanaweza kulindwa kwa style ya...
  11. MWANA WA UFALME

    CHADEMA: Kama Rais akipuuza kuunda tume huru ya majaji Arusha nini hatima yake?

    Nimesoma gazeti la Tanzania Daima na wameeleza kwamba police walikuwa wanapanga kushirikiana na fbi kuficha ushahidi kwa kuituhumu cdm, Zoezi hili la kutotaka ukweli ujulikane lina mkono mpana sana, Kama Raisi angekuwa anahitaji kujua waliohusika asingekaa kimya. Maana kama waliweza kutoa...
  12. MWANA WA UFALME

    Sababu za Tanzania kutengwa EAC na kina Museveni, Kagame, Kenyatta hizi hapa

    Kwa hali ya uhasama inavyoanza kunyemelea nchi za maziwa makuu, pamoja na vita zinazoendelea kwa majirani zetu, it is more safe kutokuwa na huu umoja kwa sasa. Hivi karibuni tumekuwa tunashuhudia wimbi la wahalifu toka nchi za jirani. Je tukifungulia mipaka si ndio balaa. Tunaweza kujifunza...
  13. MWANA WA UFALME

    Picha: Baada ya Mnyika kukoswa na bomu mkutano unaendelea

    Kuna haja gani ya Polic kuja kwenye mikutano kwa nia ya kuleta fujo na si kulinda amani Cdm itangaze kuwakataa polic kuwepo kwenye mikutano yao maana wana nia mbaya
  14. MWANA WA UFALME

    CUF: Maandamano yetu yako pale pale

    Kura zake si alisema alimpa maana ni mdini mwenzie, sasa haya ni maandamano au ni kusalimiana na swahiba , Kweli wajinga ndio waliwao
  15. MWANA WA UFALME

    CUF: Serikali ilichukulie hatua gazeti la Tanzania Daima kwa uchochezi wa kidini!

    Wakati Mbunge wa cdm Mbilinyi aka Sugu, alipoweka page ya kupinga alichokisema Waziri mkuu, polic walimkamata na kwenda kumhoji, Lwakatare alikamatwa kwa tuhuma za video waliyoipa jina ni ya ugaidi, Hivi karibuni kuna watu wamekamatwa kwa kutuma msg za kumashifu rais nao walikamatwa...
  16. MWANA WA UFALME

    Alert: Rwanda na Kenya Juu kielimu kanda ya Africa mashariki

    The whole education system needs serious evaluation and immediate measures. Otherwise the cheap politics in education system is either intentional for some malice outcomes or we serious lack an understanding of the the likely disastrous outcomes in the near future. If we intend to have...
  17. MWANA WA UFALME

    VIDEO: Makambi ya Red Brigade kuanza wiki ijayo

    watupe account ya jinsi ya kuchangia mafunzo
  18. MWANA WA UFALME

    Lipumba achochea tena udini: Waumini walishwa kiapo!

    soon utasikia tunataka kiongozi wetu atoke kabila fulani na wasipewe watu wa kabila fulani. Na pia tunataka watu wa kabila fulani fulani wapate vyeo vikubwa vikubwa etc. Dhambi ya ubaguzi huwa haiishi ikishaanza
Back
Top Bottom