Recent content by Mwalutenda

  1. M

    Serikali imenunua tena mashangingi 26 mapya kimya kimya!

    Unaweza kuona jinsi gani Serikali yetu isivyo zingatia matumizi sahihi ya rasilimali ya Taifa...Ndiyo maana hata mtu mmoja mwenye mamlaka anaweza kujichukulia wanyama wetu katika mbuga za wanyama kama vile anaswaga ng'ombe kwenye zizi lake na kusafirisha nje ya nchi tena kwa ndege.Hapo tunabaki...
  2. M

    Mawaziri wa JK: Ngeleja na apartment ya $350,000

    Hivi mambo haya yanapotambuliwa kwa kuchelewa ina maana watu wa "system" Serikali ya Kikwete inawalipa mishahara ya bure?
Back
Top Bottom