Tanesco ongezeni magari ya emergency kama sisi eneo letu tunahudumiwa na gari moja tu maana kila siku wanaokuja ni wale wale
wakija unawaona kabisa.
wamechokaaaa hata maelezo ya nini kimetokea hawachukui wanawasha na kuondoka, mnawatesa sana hawa emergency,unapiga simu unapewa namba...
taratibu gani za kufuata ili kubadilishiwa mita?
maana mimi nina kita umeme ukikatika tu na ukija kurudi nyumba yetu tu inakosa umeme mpaka tanesco wapigiwe waje wafungue mita na wawashe na hii inachukua mpaka siku 3 ukitoa taarifa ndo tanesco wanakuja
imekuwa kero sana, mpaka imefikia kipindi...
mweee unapigiwa mzee
tena mpaka hilo kochi wanalokalia pengine wanafanyiaga hapo
penzi la wizi tamu sana
unapita wakati mgumu sana kaka,usipojiangalia utakuja kuwafumania halafu uue uishie jera
fanya maamuzi mapema,achana naye huyo
pole sana
hakika wote kwenye hiyo siti mlitembelea nyota ya mtoto
israel alivoona mtoto akaahilisha kuchukua roho zenu
ndio maana napenda sana kubeba watoto wa watu kwenye basi nikisafiri maana najua kwa imani ikitokea ajari ntapona tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.