Search results

  1. M

    HESLB! mtauwa watu

    aisee wanakata balaa
  2. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco ongezeni magari ya emergency kama sisi eneo letu tunahudumiwa na gari moja tu maana kila siku wanaokuja ni wale wale wakija unawaona kabisa. wamechokaaaa hata maelezo ya nini kimetokea hawachukui wanawasha na kuondoka, mnawatesa sana hawa emergency,unapiga simu unapewa namba...
  3. M

    Kauli hizi za President Magufuli ziliharibu kabisa

    ney wa mitego alishamaliza yote
  4. M

    Msaada kwa Godzilla, ana hali mbaya

    jina tu lina ukakasi lazima apagawe
  5. M

    Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    bila shaka ulilewa umefikia kiasi unamdhihaki Mungu! tubu mapema
  6. M

    Huyu mama kazidi sasa

    post zingine zinaboa sana
  7. M

    Kampuni ya LG Yafanya Kufuru Tanzania!. Yamwaga Ma AC ya Ajabu!. Yanatumia Umeme Mdogo!.

    AC moja ya matumizi ya nyumbani tu vyumba vitatu sh ngapi?
  8. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    taratibu gani za kufuata ili kubadilishiwa mita? maana mimi nina kita umeme ukikatika tu na ukija kurudi nyumba yetu tu inakosa umeme mpaka tanesco wapigiwe waje wafungue mita na wawashe na hii inachukua mpaka siku 3 ukitoa taarifa ndo tanesco wanakuja imekuwa kero sana, mpaka imefikia kipindi...
  9. M

    Nahisi hili jitu linachukua msichana wangu

    mweee unapigiwa mzee tena mpaka hilo kochi wanalokalia pengine wanafanyiaga hapo penzi la wizi tamu sana unapita wakati mgumu sana kaka,usipojiangalia utakuja kuwafumania halafu uue uishie jera fanya maamuzi mapema,achana naye huyo
  10. M

    Mrejesho ajali ya coaster Tanga

    pole sana hakika wote kwenye hiyo siti mlitembelea nyota ya mtoto israel alivoona mtoto akaahilisha kuchukua roho zenu ndio maana napenda sana kubeba watoto wa watu kwenye basi nikisafiri maana najua kwa imani ikitokea ajari ntapona tu
  11. M

    Mizigo yatupwa hovyo airport Mwanza

    weka picha basi wakati wanatupa ushahidi wa picha huna tutakuelewaje?
  12. M

    Fundisho kwa wanaume ajali inapotokea

    hahaaaa hata mimi ni kama john
  13. M

    Dakika 30 za kifo cha rais John F Kennedy.

    mkuu ntaipataje hii tena?
  14. M

    Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

    tunanunua sukari 2800 kwa kununua ndege mtumba!!!!!!!!!!!! Mungu yupo evidence hiyo hapo aje mtu abishe dege liko onorder
Back
Top Bottom