Recent content by Muntu

  1. M

    Mnunuzi wa nyumba/ kiwanja usilazimishwe kulipa 10% Serikali za mitaa, haipo kisheria

    Nimenunua Kiwanja, naomba kujua utaratibu wa kufanya transfers, Maana kuna jamaa angu amefanya transfers lakini jamaa anamzungusha kumpa risiti zake za hayo malipo.
  2. M

    Natafuta kazi ya UHASIBU.

    all the best, ila haujaelezea kwa undani hizo qualifications zote. jitahidi kuelezea.naamini wapo wadau watakusaidia
  3. M

    Ushauri kuhusu biashara ya kuuza vinywaji vya aina zote (Vikali na vya kawaida)

    kwa upande wa makampuni ya vinywaji, glass huwa zina faida sana kuliko Takeaway. ndo maana inakua ngumu kuachilia, kwa sababu cost ya uzalishaji kwa takeaway ni kubwa sana kulinganisha na chupa/kioo. kwa mfano kama kampuni ikinunua glass kutoka kioo Ltd, yaani mzunguko wa kwanza tu kuingizwa...
  4. M

    Ushauri kuhusu biashara ya kuuza vinywaji vya aina zote (Vikali na vya kawaida)

    jaribu kuwatafuta salesman wa makampuni ya soda kama Coca/pespsi/mo/azam. sasa inategemea ww upo sehemu gani. ila wafanyabiashara wengi wanafunga depot zao, kwani biashara hii huwa inakua na target za kila mwezi, hivyo inategemea na achievment yako huwa wanatoa incentives. ni biashara ambayo...
  5. M

    Financial Guarantor

    Habar wanajamii, Kwa mwenye ufahamu wa sheria inayohusiana na Financial guarantor, kwa mtu ambaye tayar amesha ajiriwa na tayar alisha saini mkataba wa kudumu wa kudumu kwa takrbani miaka zaidi ya minne, kisha mwajili akatoa Financial guarantor ukamilishe ndani ya siku tisa, pia fomu hiyo ina...
  6. M

    Kimapenzi nani anatakiwa awe wa kwanza kumpiga kiss mwenzake mke au mume?

    Inategemea na muonekano,sasa wewe na misharubu yako kama rosee unategemea ataanza kukisi.
  7. M

    Wanawake wenye sura hii, chumbani hakulaliki kwa ghubu hata wakati wa tendo…..!

    Aisee,ni kweli kabisa.kuna mtu sura kama hyo,alinipa kazi, yeye ana ofisi yake mambo ya real estate,akipata fedha ni mtu wa mambo makubwa,kula runch hotel kubwa kubwa.mwisho wa siku nikaacha kazi,kumbe ni mtu wa dogodogo.kazi zake nyingi anategemea commission.sura mulemule.
  8. M

    Nahitaji rafiki wa kike.

    Natafuta rafiki wa kike mwenye umri wa kuanzia 22-28 yrs.awe mwenye elimu ya chuo,awe mfanyakazi, mkristo na mwenye mapenzi ya mungu.
  9. M

    where to find Tally Accounting Package?

    Nenda pale ELIA complex,opposite na CBE,akiba-panaitwa Powercomputers.
  10. M

    Interview-Settlement Clerk-cocacola

    Habari wadau, naomba kuuliza kwa mtu aliyewahi fanya interview na cocacola,
  11. M

    SAP jobs

    mkuu SAP ni pana sana,sasa sema ni mambo gani unayajua zaidi,kwa sababu kuna FICO(financial and Contolling),SD (sales distribution),MM(materila Management),CRM,SCM,PP na modules nyingine nyingi sana.mimi kwa upande wangu nina ujuzi wa EPICOR,especially 9 katika Financial modules na Inventory...
  12. M

    Msaada wa SAP ERP

    Habari wanajamii, naomba kuuliza mahali napoweza kujifunza SAP accounting software kwa Dar es salaam,nataka kujifunza pamoja na kufanya mitihani yake ili niweze kupata Cheti chake
  13. M

    Kama Huna Kazi na Umekata Tamaa Soma Hapa

    Kwa ukweli kabisa toka moyoni, hiyo ni facts kabisa.vijana zingatieni haya. Tena ninavyowaambia sasa hivi Tanzania kama mchezo wa mazinga ombwe.ukiona manyoya kashaliwa.hakika utajua kwa nini noti ni fedha halali kwa malipo ya...?na sio sarafu.hv hamjiulizi kwa nini sarafu za silver hununui...
  14. M

    Girls, Sio kila Relationship imeandikwa ifikie ndoa!

    Na wengine hawachelewi kurisiti.tuition ndo mpango mzima kung'oa NECTA.
  15. M

    Vinywaji na vyakula vinavyochangia kuporomoka kwa kinga ya mwili:

    Toa hoja.elezea.au umecopy na kupaste.
Back
Top Bottom