Recent content by mungasulwa

  1. M

    Labda mtapata la kujifunza mlio kwenye ndoa

    duh! very touching story
  2. M

    Warioba na Tume yake wajiunga na Upinzani

    hah ha haaaa ...mbavu zangu!!!
  3. M

    Tupia majina ya baa za zamani

    Zambia bar,Starehe bar na Evening star... Mafiati-Mbeya
  4. M

    Tupia majina ya baa za zamani

    Kwa wakata kiu, tupieni majina ya bar za zamani; Mie nakumbuka Mpilipili,Deluxe -Magomeni, Bingwa bar, Congo bar-Kkoo,Kingstar,White Inn,Bobs Motel, Queen of Sheba,Gaza one,Mori bar-Sinza...endelea.
  5. M

    Kariakoo inapendeza mno kwa kweli (BIG UP! Meki chadiki)

    hivi Mwanza pasafi eeh? hebu nijuze mkuu...au kwa uzuri wa kuishi unamaana gani?
  6. M

    Vigogo wastaafu ccm washinikiza sitta asitishe bunge au ajiuzuru,ya lowasa kumkuta

    Hatuna haraka ya kupata Katiba isiyo ya maridhiano. Hii nchi ni yetu sote. Vunja bunge la katiba tufanye chaguzi za serikari za mitaa na urais mwakani. Uongozi mpya usimamie upatikanaji wa Katiba ya wananchi si ya wanasiasa.
  7. M

    Enzi ulipokuwa boarding

    umenichekesha sana mpaka chozi lanitoka.....!!!
  8. M

    Thank You Jamiiforums I am A Big Star and Big Celebrity Cause of You Leo Nitaichangia Tsh. 200,000!!

    Big up le mutuz nimesoma ule Uzi uliokupambanisha na mbuta nanga .... ndiyo nikaelewa unachokifanya the wizard manipulator! Keep it up wakati misukule itakapo kuja elewa it'll b too late!!!
  9. M

    William Malecela vs Flora Lyimo (Mbuta Nanga)

    hah ha haaaaaaa jamani mbavu zangu. ....!
  10. M

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Haaa haaa assault at theatre of dreams! !!
  11. M

    21% ya Ajira za serikali ya muungano kupewa wa-Znz. Je, haki imetendeka??

    Hii habari ya ajira kama ni kweli! basi viongozi wanaotoka Tanganyika akili zao ni TOPE!!!! To the very slightest sense how can they allow this to happen?????:A S confused:
Back
Top Bottom