Recent content by MUGASHA THE HERO

  1. MUGASHA THE HERO

    CHADEMA hawana chao utawala wa Rais Magufuli

    wapeni nafasi ya kufanya siasa bila kuzuiwa then tutajua uwezo wao. sasa ninyi mmewazuia kufanya siasa then mnasenma hawana chao.tumieni akili ccm
  2. MUGASHA THE HERO

    Ipo siku, hili bus litaua watu kwa kweli!

    :p:p:p:p:p:p:p:p mpambalyoto mbishi sana
  3. MUGASHA THE HERO

    Ushauri kwa huyu mwenzetu, muda wowote anaweza jiua

    Habari za mchana wana jf Tarehe 19/11/2016, siku ya Jumamosi kulikuwa na mahafali ya chuo kikuu flani (jina linahifadhiwa). Nilifanikiwa kufika chuoni hapo kusherehekea na mdogo wangu. Sherehe ilikuwa nzuri mpaka mwisho, muda wa sherehe ulipokwisha nilimuaga mdogo angu na kuanza kutoka getini...
  4. MUGASHA THE HERO

    Hali ni mbaya wajameni

    sasa hivi mpaka vijijini watu wanalia na njaa ya pesa
  5. MUGASHA THE HERO

    CCM wamwekea Lowassa mazingira mazuri ya kuingia Ikulu!

    Wadau japo tunapenda huyu mzee tutambue tume ya uchaguz ipo chni ya ccm. Polic wapo chn ya ccm, wakurugenzi wote ni makada watiifu wa ccm. Hv tunategemea nin hapo?
  6. MUGASHA THE HERO

    Bodi ya Mikopo kuwafikisha Mahakamani wadaiwa sugu 142,470 kama wakishindwa kulipa ndani ya siku 30

    miaka yote walikuwa wapi? saa hivi wamefulia mpaka wanakuja na hizi mbinu zao. hata hivyo huo ni muendelezo wa matamko hewa
  7. MUGASHA THE HERO

    Hili la Makonda lilinishangaza zaidi

    huyu anastahilin kuwa konda kama jina lake linavojieleza. hizo nafas za appointment letter ni shida sana
Back
Top Bottom