"NJE YA MUUNGANO HAKUNA ZANZIBAR BALI KUNA UNGUJA NA PEMBA" (J.K. Nyerere, 1995). wanadai wasichokijua hao. By the way, washanyonya sana lakini hawakui, waacheni wakajitegemee watatia akili.
wapenzi wa chadema, mmependa hadi hamuoni. Mbona tathimini tu ya kawida ni juzi cdm imeshangiliwa saaana, kisha kupewa viti 3 vya udiwani. Uwingi wa watu kwenye mikutano sio kigeza cha chama kufaniwa kisiasa, bali kupata watu wengi watakaokipia kura. si dhani mafanikio ya cdm ni kuona waru wengi...
Mtoa maada inaonekana anajua nchi chache africa zinazoruhusu ushoga. S oma ramani hii, utaona na tatizo lilivyo kubwa africa. naungana nae kungekuwepo kipengele cha kulinda utamaduni wetu kwenye katiba.
katika rasimu hii, sura ya 6, ibara ya 64 kipengele no 5 nanukuu " nchi washirika zitkuwa na hadhi sawa katika mambo yanayohusu muungano........" Hiki ndicho kitakacchoua muungano hasa pale tutakapohitaji michango sawa kutoka kilaa upande kuendesha serikali ya muungano. Duh, na hakika hivi tu...
Mnaocochea, hamjui kama hadi leo tunaingia ghaama za kupigana na Idd Amin? Serikali hii isiyoweza kulipa hata mishaharara ya watumishi wake, itaweza vita? Moyo wa wananchi wa leo kujitole (ng'ombe, Mbuzi, mahaarage, magari, n. k) bado upo kama ilivyo kuwa mwaka 1978-79? Tafakari
German East Africa (German: Deutsch-Ostafrika) was a German colony in Southeast Africa, which included what are now Burundi, Rwanda and Tanganyika (the mainland part of present Tanzania). Its area was 994,996 km2 (384,170 sq mi), nearly three times the area of Germany today.
The colony came...
Bernad Membe, frankly speking you don't diverse the position. Leave alone EL he will remember you since you already declared not to contest for ubunge. then you can qualify being a misnister under the upcoming new katiba.
wht a mercy, this one person, just sitting, eating, talking (sense/nonsense), for 90 days plus 30days extension is worth 36, 000,000/ non taxable. 600 tanzanian for 120days scooping 21,600,000,000/= from the so called KASUNGURA. Yet sisiemu have well planned mission to frustrate the whole...
wana JF, kukaa kimya ni busara pia. ukianza kuropoka kujibu wambea jamii inaweza ishindwe kung'amua nani mbea. Inaeleweka wazi kwamba utendaji wake wa kazi akiwa waziri mkuu ulikuwa unamfunika presidaa kwa kiwango kukubwa. na urafiki wake na EL ulianza kudorora, kwa sababu EL haendekezi...
Amina. wewe ndo umekuja a maneno yenye afya. nimesoma koments za wengi, zinakatisha tamaa. Rais sio Mungu. Ila nawaasa watanzania kuliombea Taifa katika kipindi hiki, maana kumwaga damu za wasio hatia ni roho ya kuzimu.
Tafadhali, tafadhali, kwenye mijadala hii nawashauri msiingize kashfa kwa watumishi wa Mungu. Nimesikitishwa na waliotoa koment wakamuweka TB Joshua. TB Joshua kazi yake si kuwakataa wala kuwahukumu wezi. Hii ndi kazi ya Yesu Kristo ambaye anaichukia dhambi bali huwapenda watenda dhambi maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.