Search results

  1. M

    Double Standard Kuhusu Kauli ya "Zanzibar Sio Nchi!"

    "NJE YA MUUNGANO HAKUNA ZANZIBAR BALI KUNA UNGUJA NA PEMBA" (J.K. Nyerere, 1995). wanadai wasichokijua hao. By the way, washanyonya sana lakini hawakui, waacheni wakajitegemee watatia akili.
  2. M

    Dr.Slaa! Kul-haq’qa lau-kana Mur’ra! Unaficha ficha nini?

    wapenzi wa chadema, mmependa hadi hamuoni. Mbona tathimini tu ya kawida ni juzi cdm imeshangiliwa saaana, kisha kupewa viti 3 vya udiwani. Uwingi wa watu kwenye mikutano sio kigeza cha chama kufaniwa kisiasa, bali kupata watu wengi watakaokipia kura. si dhani mafanikio ya cdm ni kuona waru wengi...
  3. M

    Karibuni kumbukumbu ya Dr Daud Balali aliyekuwa gavana wa BOT

    Naomaba kufafanuliwa, ni prof yupi alidedishwa kisa kakutana live na balali
  4. M

    Katiba Mpya na Ushoga

    Mtoa maada inaonekana anajua nchi chache africa zinazoruhusu ushoga. S oma ramani hii, utaona na tatizo lilivyo kubwa africa. naungana nae kungekuwepo kipengele cha kulinda utamaduni wetu kwenye katiba.
  5. M

    Marais watatu Nchi moja imeonekana wapi ?

    katika rasimu hii, sura ya 6, ibara ya 64 kipengele no 5 nanukuu " nchi washirika zitkuwa na hadhi sawa katika mambo yanayohusu muungano........" Hiki ndicho kitakacchoua muungano hasa pale tutakapohitaji michango sawa kutoka kilaa upande kuendesha serikali ya muungano. Duh, na hakika hivi tu...
  6. M

    Kagame adaiwa kupandikiza makachero nchini kuipeleleza Serikali… mbunge atajwa kuhusika!

    Mnaocochea, hamjui kama hadi leo tunaingia ghaama za kupigana na Idd Amin? Serikali hii isiyoweza kulipa hata mishaharara ya watumishi wake, itaweza vita? Moyo wa wananchi wa leo kujitole (ng'ombe, Mbuzi, mahaarage, magari, n. k) bado upo kama ilivyo kuwa mwaka 1978-79? Tafakari
  7. M

    Prof Shivji Ampa Darasa Mzee Warioba, wajumbe wa bunge la katiba someni ili msiyumbe...

    Hakuna anayewashilia mkae, kwanza mnatubana sana hapa bongo, hadi kuna mtaa wa wapemba dsm. Chukueni zanziba yenu mkabaguane zaidi
  8. M

    Ni kweli Rwanda na Burundi zilikuwa sehemu ya Tanganyika?

    German East Africa (German: Deutsch-Ostafrika) was a German colony in Southeast Africa, which included what are now Burundi, Rwanda and Tanganyika (the mainland part of present Tanzania). Its area was 994,996 km2 (384,170 sq mi), nearly three times the area of Germany today. The colony came...
  9. M

    Urais 2015: Bernard Membe ahojiwa na Kamati ya Maadili CCM

    Bernad Membe, frankly speking you don't diverse the position. Leave alone EL he will remember you since you already declared not to contest for ubunge. then you can qualify being a misnister under the upcoming new katiba.
  10. M

    Dr. Thomas Kashilila: Posho ya kikao kwa Bunge la Katiba ni laki 3 na sio 7

    wht a mercy, this one person, just sitting, eating, talking (sense/nonsense), for 90 days plus 30days extension is worth 36, 000,000/ non taxable. 600 tanzanian for 120days scooping 21,600,000,000/= from the so called KASUNGURA. Yet sisiemu have well planned mission to frustrate the whole...
  11. M

    Kinacho muangamiza Lowassa ni Ukimya wake!

    wana JF, kukaa kimya ni busara pia. ukianza kuropoka kujibu wambea jamii inaweza ishindwe kung'amua nani mbea. Inaeleweka wazi kwamba utendaji wake wa kazi akiwa waziri mkuu ulikuwa unamfunika presidaa kwa kiwango kukubwa. na urafiki wake na EL ulianza kudorora, kwa sababu EL haendekezi...
  12. M

    Rais sio mungu!

    Amina. wewe ndo umekuja a maneno yenye afya. nimesoma koments za wengi, zinakatisha tamaa. Rais sio Mungu. Ila nawaasa watanzania kuliombea Taifa katika kipindi hiki, maana kumwaga damu za wasio hatia ni roho ya kuzimu.
  13. M

    Gharama za urais wa Tanzania hizi hapa

    Tafadhali, tafadhali, kwenye mijadala hii nawashauri msiingize kashfa kwa watumishi wa Mungu. Nimesikitishwa na waliotoa koment wakamuweka TB Joshua. TB Joshua kazi yake si kuwakataa wala kuwahukumu wezi. Hii ndi kazi ya Yesu Kristo ambaye anaichukia dhambi bali huwapenda watenda dhambi maana...
  14. M

    Kanisa Katoliki ladaiwa maelfu ya Dola kwa Kosa la Ubakaji/udhalilishaji watoto kimapenzi

    Tatizo lilishamuacha Mungu, linaendeshwa na sera za freemason, kuabudu shetani. kingdom of darkness
  15. M

    Walionyongwa China, Damu zao mikononi mwa Kikwete

    Imefika wakati na watz nasi tuwa teminet tu hawa jamaa, yawezekana wataacha kutuingizi madawa nchini. wamefanya tz uchochoro
  16. M

    Mchungaji Katunzi Kurithi Mirathi ya Mzee Kulola kinguvu ilhali mjane wa Askof Kulola bado yupo

    Nasoma kwenye huu uzi, japo sina hakika na ukweli wa mambo, naona kuna watu wanachanganya kanisa na mtu huyo Katunzi. Kama kaamua kuiba hilo ni lake wala si la kanisa, Biblia inasema "Roho itendayo dhambi ndiyo itakayokufa. Mwana hataadhibiwa kwa ajili ya makosa ya baba yake, wala baba...
  17. M

    Mwenyekiti wangu CCM Jakaya Kikwete: Lowassa's buck stops with you!

    Hiyo nayo ni njia ya kumtangaza lowasa azidi kung'ara.
  18. M

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Edward Ngoyayi Lowasa
  19. M

    Hivi Hawa Matapeli Kupitia Mitandao Hua Wanatoa Wapi Email-Address zetu?

    Ama ni kampuni moja ya wezi ama wengi lakini uttendaji wao unafanana kama makonda wa daladala. ona hihi imekuja kwangu Hello my lovely one, I want to thank you for your kind reply and your acceptance to assist me, I decided to contact you because of the urgency of my situation here and after...
  20. M

    Kesi ya Zitto vs CHADEMA:Kuna mazingira yanaandaliwa ku-influence uamuzi wa mahakama

    within cdm, Small is the number of people who see with their eyes and think with their minds.
Back
Top Bottom