Recent content by Mtemikwila

  1. Mtemikwila

    Ushuhuda: Manukato/perfume yasababisha niachwe na mwanamke aliyenipenda

    Wavulana mna shida sana, mwanaume hata akutwe kifuani akipewa nafasi ya kushuka tu basi ujue aliekua kifuani sio yeye. Sasa wavurana issue ndogo unakuja kulialia hapa
  2. Mtemikwila

    CCM wanawekana sawa kwa kuparurana, ninyi je mnajipangaje?

    Sijawahi teteleka wala kulialia nipo imara muda wote sababu sijawahi mtegemea mwana siasa
  3. Mtemikwila

    CCM wanawekana sawa kwa kuparurana, ninyi je mnajipangaje?

    Afu wewe binafsi ukiwa umenufaika vipi?
  4. Mtemikwila

    Kinachoendelea Bungeni ni wale wa mbeleko VS wabeba mbeleko

    It will never happen in Africa especially Tanzania, muda ni hakimu mzuri.
  5. Mtemikwila

    Nyie mlioolewa muwe na msimamo na ndoa zenu mtakuja kusabisha mauaji hivi hivi

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] wee piga tu picha hapo nchi jirani
  6. Mtemikwila

    Dogo anataka kuacha kazi serikalini aende private

    Hahahaha wanakuaga na kaujinga furani
  7. Mtemikwila

    Dogo anataka kuacha kazi serikalini aende private

    Kwa hiyo unataka dogo aishi Kwa kusubilia kiinua mgongo au? Watu wengi wanaofanikiwa hua ni risk takers kinyama. Watu waoga huishia kuwa wachawi na fitina.
  8. Mtemikwila

    Dogo anataka kuacha kazi serikalini aende private

    Sasa kama umesha mshauri asiache huu uzi umeuleta huku ili iweje sasa? Afu kwa nn mshikie akili mdogo ako?
  9. Mtemikwila

    Kama hujawahi kutaja neno "mkuu" hapa JF njoo uchukue million

    [emoji38][emoji38][emoji38][emoji848] naona umepishana nayo mkuu
  10. Mtemikwila

    Ushauri wangu kwa Lissu baada ya Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kutangazwa

    Wakati tumbo la hedhi tu likikushika unahaha kama nn, sembuse ukutane na kirungu cha ugoko au goti..ingia aisee kitaa tupo
  11. Mtemikwila

    Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

    Kwa hiyo ccm wamekwambia hivyo au sio?
Back
Top Bottom