Recent content by mswax

  1. mswax

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Pamoja na tofauti hiyo lakini haiwezi fika 500B mkuu
  2. mswax

    Australia kupeperusha bendera yake nusu mlingoti siku ya leo kuenzi kifo na mazishi ya Hayati Dkt. Magufuli

    Kama hujui jambo usikurupuke kuponda, kila binadamu ni mwana wa Mungu, sasa we unafoka nini?
  3. mswax

    Nimekuwa nikikosa matumaini muda mwingi. Naombeni ushauri

    Pole ingekuwa vema kama alivyoshauri mjumbe mmoja hapo juu kuwa ueleze hapa hapa hadhalani ili upewe ushauri kuliko kusubiri mtu akufuate inbox, kwani usipofuatwa utaendelea kuwa na tatizo lako. Lkn pia wataalam wa masuala ya saikolojia wanadrma kuwa ukiweza kulielezea tatizo lako kiufasaha...
  4. mswax

    Ni kweli TISS hawafahamiani na hawaaminiani?

    Nakipataje kitabu hicho mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mswax

    Macbook pro 2015 inaonesha file na question mark

    Ungetoa darasa hapa ungetusaidia wengi kwani hata Mie nasumbuliwa na tatizo linalofanana na hili, na hadi Leo sijaweza kutumia Wasap, wala mtandao wowote wa kijamii. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mswax

    Kwenye hii picha wewe umeona nini?

    Nimemuona mwanamke yumo ndani ya Gari. Sent from my Infinix-X600 using JamiiForums mobile app
  7. mswax

    Tecno N8 vs infinix Ipi ipo Vizuri Wakuu

    Mie natumia infinix note 2 iko vizuri sana kuliko Simu yoyote ya tecno
  8. mswax

    Utafiti: Bila kufoji vitu hivi huwezi kufanikiwa katika ajira na maisha

    Hata wanawake wa sasa bila kufoji maneno na maisha humpati.
  9. mswax

    Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    Mungu anahaja na roho yako imtumikie ndiyo maana kakupa hata ufahamu wa kuweza kuandika ujinga unao uwaza ili uhubiriww injili upone.
  10. mswax

    Waziri Mwakyembe: Msanii anayetaka kuzungumzia siasa, akagombee ubunge au udiwani

    Ukiwa kibaraka wa mtu ni mbaya sana coz utakuwa huwa Uhuru wa kuamua,kufikiri na kasema kwa Uhuru na haki Bali utasema utayafanya mambo yote kwa ajili ya kumridhisha mtu,huyu waziri ana uchu na tamaa ya madaraka na kama sivyo basi anaogopa kuachia ngazi ili kuendelea kuficha madudu aliyowahi...
  11. mswax

    Nini kitatokea endapo Makonda atakaidi agizo la waziri?

    Nimejaribu kuwaza sijapata jibu ndani wa wiki mbili tu baba mwenye nyumba amesha wadhihaki wasaidizi wake wawili tena kwa mbwembwe na kejeri ya hali ya juu,najiuliza nini kinawatesa hawa wasaidizi wake kutotoa maamuzi magumu ya kumfanya nae asifiri kidogo, je uchu wa madaraka wa wasaidizi wake...
  12. mswax

    Rais Magufuli aweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Flyover ya Ubungo, amtaka RC Paul Makonda achape kazi

    Naanza kuwa na mashaka ya mahusiano ya kibaiolojia baina ya bashite na baba jesca,nadhani tukifuatilia vizuri tutajua lilifichika zaidi baina ya watu hawa wawili nje na uongozi wao,haiwezekani wakafanana akili mbovu kiasi Hiki,nimeshangaa sana kuona mtu anafanya utumbo halafu bado...
  13. mswax

    Mpenzi au mke/mume ameyabadilisha vipi maisha yako?

    Mie mpenzi wangu kanifanya niende shule kuongeza elimu coz nimempata yeye ana masters yake kichwani nami wakati huo Nina kadploma kangu kwa kuwa ninampenda na haonyeshi kuniumiza nikaona niongeze elimu ili kuendana nae,now nimemaliza degree yangu naanza kuwaza masters.
  14. mswax

    Mjadala Maalum: Wanaosaka ajira nje ya Tanzania

    Niko Tanzania Mkuu.
  15. mswax

    Zitto Kabwe: Askofu Gwajima samehe. Kusamehe ni adhabu kubwa zaidi kwa anayekukosea

    Hapa Ndipo huwa naona mapungufu na ujinga wetu sisi wakristo,na biblia inasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,na pia inasema tuwe wapole kama njiwa na wajanja kama nyoka, Sheria zimetungwa ili zitumike na hatukai mbinguni Bali tunakaa Duniani ziliko sheria ,habari za kusamehe hazipo...
Back
Top Bottom