Recent content by Mshahar

  1. M

    Modem ipi na mtandao gani ni bora zaidi kwa Video, Skype (VoIP) na Internet kwa ujumla?

    nunua vodafone k3570 ina speed mpaka 3.6Mps halafu: 1. "ichakachue" kama huwezi tafuta software ya ZTE Joinair 2. nunua bundle ya airtel ya 2500 unapata 400mb kwa siku 30 utaipenda
  2. M

    Nahisi kufanya kitu kibaya msaada plz?

    kaka kama hukumuamini kwanini umpe comp yako, hapa mi naona utakuwa unamuonea hii case ni kwamba ametumia windows xp royale au ametumia xp meant for dell pc's ndio maana umeona hiyo "chata ya dell" hata ukianagalia properties ni zilezile. kwa ufupi tafuta window nyingine nzuri halafu woga wako...
Back
Top Bottom