Recent content by Ms. Thandiswa

  1. M

    Sifurahii kifo,lakini kwa hili channel ten ni funzo kwenu,kaeni chini mtafakali

    Umenikumbusha ndugu yangu kuhusu huyo mtu,mbona ana kiranga hivyo? Sebo ni kama limbukeni fulani hivi yeye anawaiga wafu FM,kimbelembele na anaboa. wewe sebo kama unanisikia au mfikishieni ujumbe kazi ya utangazaji haikufai
  2. M

    Advera Senso,msemaji wa Jeshi la polisi

    Cha kwanza mwema angeachia ngazi,afuate kamhanda hadi huyo mmama msemaji wao ni aibu kuturudisha zama hizo wakati kila kitu kiko wazi,watu wameshuhudia live,picha zipo. kuonyesha ni wanyama kiasi gani wamemwacha na nyama tu hata bila kumsitiri kiumbe cha mja,wanamuhangaikia mwenzao. Sina hakika...
  3. M

    Tatizo Watanzania wamezoea kuwachezea POLISI wetu kutokana na upole na ustaarabu wao.

    Wewe kupe si bure una lako jambo na ni gamba gumu,huwezi kushabikia kifo cha mtu asiye na hatia na akiwa kazini,hata kama alifanya kosa kuna sheria na si kuua kinyama hata kuku huchinjwa si vile kumbakisha nyama. hakuna cha kuficha magamba wanatoa amri kwa kujua CDM wanavyokubalika na...
  4. M

    Mauaji Nyororo - Trivia Question - Michael Kamuhanda yupo picha zote mbili?

    RIP Daudi Mwangosi! Hawa polisi kuna wanachokitafuta si bure kwa kweli,wanatumiwa vibaya sn damu wanazomwaga za bila hatia watazilipa wakiwa hapahapa duniani.
  5. M

    Sports Extra ya Clouds Fm

    Tatizo lenu huwa mnawapandisha wenyewe humu JF,hasa huyo Kibonde. Mi Clouds nasikiliza kipindi cha njia panda tu ndio kipindi bora na chenye mpangilio unaoeleweka.
  6. M

    Usugu wa tatizo la ATM za benki zetu hapa nchini

    mimi natumia CRDB jamani hawa ndio sugu kabisa sijui wanafanya kazi gani,hivi ninampango wa kuhamia bank nyingine,maana Mastercard ndio kabisa kama jana jioni nimezunguka ATM nyingi mpk nilipowapigia wakanielekeza ambayo inafanya kazi,wanaboa kwakweli.
  7. M

    Kuhusiana na Lulu kulia Mahakamani, Kama binti mdogo (mtoto) anayebebeshwa mzigo asioweza kuubeba

    Umenena hata mimi simuhurumii kabisa wakati anafanya starehe alikuwa anaona dunia ni yake na chaguo ni lake leo aliyoyachagua anayaangulia kilio. Mnaomuonea huruma mwende mahakamani badala yake,ni lazima iwe fundisho kwake,wasichana wote,wazazi wanaofanya watoto wao vitega uchumi ili kuganga...
  8. M

    Dr BANA on EATV anasema wabunge nao wapigiwe kura ya kutokua na imani nao

    Nisivyompenda yule baba acheni tu sura mbaya,then hakuna linalompita,ni gamba yule mi huwa hanishtui akiwa anabwabwaja matapishi yake,anajikomba so sitegemei awe against na magamba,mtu mzima hovyoooo! bado aje na tafiti zake atawaambia chama cha magamba na mkuu wao wanakubalika kwa maasilimia...
  9. M

    Jakaya: Tunakupa wiki mbili, la sivyo ujiuzulu.

    Pamoja,tunaweza. wameweza Misri sisi tushindwe kwanini? tunataka amani iambatane na haki. Wananchi acheni kulala hii ni nchi yetu!
  10. M

    Joyce Kiria unahitaji shule

    Ana juhudi but kinachomuangusha ni darasa so umefika wakati wa yeye wa kwenda shule no matter what! ni ushauri tu
  11. M

    Kesi ya Lulu inaendeleaje?

    we senetor usiniulize maswali kama umetoka kulala ndio nina mtoto shida yako? nasema ukweli wa moyo wangu kama watu tulikuwa tunapiga kelele lizy unapokwenda cpo ye ndio kwanza hasikii kii la mtu so unataka nimpongeze kwa aliyokuwa anayafanya mpaka yakamkuta?usiku huo wa manane alitakiwa awe...
  12. M

    Kesi ya Lulu inaendeleaje?

    Mi huyu mtoto kanichosha sana acha dunia imfunze,mtoto alikuwa anaambiwa anaona anabaniwa so acheni watu waongee wanavyoweza,we unayesema kajifunza unamjua lizy unamchezea? aachiwe now utazickia nyodo zake kwn media hako kanajiona kenyewe ndio kenyewe. na kilicharuka vibaya na ni funzo kwa...
  13. M

    Wapi Hemedi siku hizi?

    Ana mashauzi sn ka ya mtoto wa kike anayetafuta bwana mi ananiboa kiukweli,hanivutii na anatafuta umaarufu kinguvu sn na bac ngoja niishie hapa maana
  14. M

    Ray acha kujiita the greatest!

    Kweli hilo jina wala halimfai kazi kufoka tu kwn movie cpendi uigizaji wake,hawezi kuwa the greatest anajifurahisha tu hawezi kuigiza km the great hata afanyaje,
  15. M

    Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

    Buguruni malapa niliwahi kusikia kuwa kulikuwa na mzee mmoja maarufu sn hapo buguruni alikuwa anaitwa malapa so ndio ikawa buguruni malapa.
Back
Top Bottom