Recent content by Mrbwire

  1. Mrbwire

    Truck bed cover (mfuniko wa bodi ya pickup)

    Lol! Nani anatumia account yako mkuu?
  2. Mrbwire

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Wakuu, Mabwawa ambayo ni movable yanaweza kuwana ukubwa wa kiasi gani? Hakuna limit? Pia naomba kujua watengenezaji wenye bei nzuri kwa dar es salaam
  3. Mrbwire

    Truck bed cover (mfuniko wa bodi ya pickup)

    Heshima kwenu! Naomba kujua wapi naweza kupata hard tonneau cover / bed cover ya Nissan Hardbody (Double Cab). Mwenye nao au anayejua wapi naweza kuupata tafadhali. Ninamaanisha mfuniko wa bodi kama inavyoonekana pichani. Picha hii ni kwa ajili ya kuonesha ninachokihitaji - aina ya gari ni...
  4. Mrbwire

    Nissan hardbody for sale

    Mh! Kuwa mkweli kaka, yaani gari hiyo isihitaji service zaidi ya tire?
  5. Mrbwire

    Hongera Serikali kwa kuanza kurasimisha ujuzi

    Ushauri mzuri kiongozi.
  6. Mrbwire

    Hongera Serikali kwa kuanza kurasimisha ujuzi

    You may be right, but as long as its values is still there and the program can improve the working condition of our you youths (i.e. Help them to have descent employment) then we are not late.
  7. Mrbwire

    Hongera Serikali kwa kuanza kurasimisha ujuzi

    Good observation. But what should we do? Tukae tusipige hatua hii muhimu kwa kuhofia kikwazo hiki ambacho kwa miaka mingi kimeiathiri sana jamii yetu ? HAPANA! Ni jukumu la kila mmoja kuunga mkono juhudi za serikali katika kupambana na huyo mdudu "rushwa" kwa nguvu, akili na uwezo weto...
  8. Mrbwire

    Hali ngumu ya maisha ya rafiki niliyesoma naye imenisononesha sana...

    Mkuu hii simulizi imenisikitisha.... mpe pole sana
  9. Mrbwire

    Rais Magufuli, TANESCO Kigamboni kuna tatizo

    Tukiweka mbali excuses na politics (ambazo kwa zama tulizonazo siamini kama zina nafasi) ukweli unabaki kuwa Tanesco kigamboni kunashida kubwa! Haiwezekani kilometre 11 kutoka mlipo (kisarawe 2) hakuna umeme miaka yote na bado kila mkifuatwa ni blah blah zisizo na maana. Nafikiri mlipaswa...
  10. Mrbwire

    Nyumba inauzwa Ituha - Mbeya mjini

    Wanunuzi karibuni. Nyumba nzuri, bei chini!
  11. Mrbwire

    Nyumba inauzwa Ituha - Mbeya mjini

    Nyumba inauzwa maeneo ya ituha (Mbeya Mjini). Si umbali mrefu kutoka inapoishia rami.(Unaingulia Sae). Ina vyumba vitatu vya kulala (kimoja kati ya hivyo ni self), Ina sitting room, dinning room, kitchen na public toilet. Ina talies. Ceiling board imewekwa sebuleni. Ina umeme na maji yapo...
  12. Mrbwire

    Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Mkuu Mudawote sio fununu... ni kweli wewe na mwenza wako ni watanzania. So fununu zako ni kweli. Ninachoweza kuwashauri watanzania wa namna yako ni kuwa kabla ya kujiita kamanda ulipaswa kujua unapambana na nini.... Mtu au mfumo? Pia ulipaswa ujue hali ngumu waliyonayo watanzania imetokana na...
  13. Mrbwire

    Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Baada ya kusoma user name yako nimegundua wewe ni mtu!
Back
Top Bottom