Kuongea na Mkristu juu ya mfumo kristu Tanzania ni sawa na kuopngea na Mbuzi au ng'ombe unadhani atakusikia?Dawa kubwa ni action since action speaks more than words@all Christians in this Christian Forum!
Tatizo una mawazo mgando sio kosa lako.Ipo siku utakuja andika hujawahiona mpishi wa kiume!Sio kosa lako hunda elimu kuhusu gender division of labour,in short hujahama from copying to Critically analysis of issues,kama huna la kuchangia ni bora ukae kimya.
Nina certificate ya secretarial course,nina ujuzi wa ms word,excel,data base na typing.nina uzoefu wa kutosha,niko tayari kufanya kazi kokote tanzania.wadau nisaidieni
Unayetangaza ajira huna elimu,nenda shule kwanza dogo.Umefundishwa namna ya kufungua website na ndio uafanyia mazoezi humu jamii forum,kuwa na adabu ya maisha.Na hiyo shule ni ya babu yako?Yaani umeniboa kinyama yaan.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.