Recent content by Mpekuzi Tanzania

  1. Mpekuzi Tanzania

    Bashe Umenifanya nilie, same study ifanyike kwenye upande wa Dawa (Pharmaceuticals)

    Bashe kichwa kimetulia sana. Hazina Kwa Taifa
  2. Mpekuzi Tanzania

    Mwenezi akiwa Makonda, Chadema na Lissu walipoteana, Masikio ya Watanzania yalielekezwa Kwa Makonda, kwasasa Lissu anajipigia tu

    Siasa za kizazi Cha Leo zinahitaji ubunifu na uwezo binafsi kichwani. Sio Siasa za mazoea za enzi za kina Mangula na Jaka Mwambi.
  3. Mpekuzi Tanzania

    Mwenezi akiwa Makonda, Chadema na Lissu walipoteana, Masikio ya Watanzania yalielekezwa Kwa Makonda, kwasasa Lissu anajipigia tu

    CHADEMA waliumia sana Makonda alipopewa Uenezi. Wakaungana na wahuni kujenga presha atolewe ili wapumue. Jamaa alijua kupiga home and away. Chama cha hoja act wazalendo nacho ndio ivyo Tena 😁 😁
  4. Mpekuzi Tanzania

    Zitto Kabwe asema Kikwete alimwambia CCM hakina muda mrefu madarakani na kumshauri abaki upinzani. Aliahidiwa uwaziri wa fedha iwapo angejiunga CCM

    Wanazindua nembo ya Chama Mwenyekiti OMO hayupo, Makamu Mwenyekiti Jussa hayupo. Kuna kitu hapa
  5. Mpekuzi Tanzania

    Kuelekea miaka 10 ya ACT Wazalendo, je kuna mpasuko Bara na Zanzibar?

    Jana ACT Wazalendo imezindua nembo Mpya ya Chama katika kusherekea miaka 10. Lakini Mwenyekiti wake Othman Masoud Othman alimaarudu OMO hakuwepo ukumbini, Jussa ambae ni Makamu Mwenyekiti upande za Zanzibar (mhafidhina) hakuwepo ukumbini. Je, ACT Wazalendo Bara na Visiwani Kila mtu kaamua...
  6. Mpekuzi Tanzania

    Tundu Lissu Kuibukia Manyara. Ataongoza Maandamano ya Amani

    Wamekuwa kama futuhi 😁😂
  7. Mpekuzi Tanzania

    Nani Sokoine wa kizazi hiki?

    Mwigulu Lameck Nchemba Madelu
  8. Mpekuzi Tanzania

    Tundu Lissu ahoji uhalali wa kikatiba wa jina jipya la Tume Huru ya Uchaguzi

    Ka tweet akiwa wapi? Nchini au Ughaibuni? Kwa mabeberu
  9. Mpekuzi Tanzania

    Ramadhan imekwisha, tuendelee na ujenzi wa taifa

    Pasaka imeenda Ramadhan imekwisha Sasa turudi kwenye ujenzi wa Taifa. Kuna waliokuwa wanafanya mashindano kulisha iftar, iftar ilikuwa sio Ibada Tena bali mashindano. Uvaaji wa Baragashia na kanzu ukawa fasheni kwa haraka haraka ungeingia tanzania kama huijui ungesema upo kwenye Taifa la ki...
  10. Mpekuzi Tanzania

    Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

    Kwanza Hongera kwa kuvaa viatu vya mtangulizi wako Paul Makonda. Lakini tathimini fupi kwenye mitandao ya kijamii baada ya uteuzi wako, Kizazi Kipya cha Wapiga kura (Watoto wa 2000) wengi wanakutilia mashaka kama utakidhi matakwa ya Siasa za kileo. Una kazi kuwa prove wrong. Kila lakheri.
  11. Mpekuzi Tanzania

    Mchakato wa Kupata Tume Huru ya Uchaguzi Uanze Sasa

    Wazee wa siasa za maswala na hoja wamepigwa na kitu kizito kwenye chaguzi za marudio wamepoteana. Ha ha ha ha 😂😂😂
  12. Mpekuzi Tanzania

    Nimenasa sauti ya Katibu Tawala (DAS) Wilaya ya Mbogwe, Ndg. Jacob Rombo akiiba mafuta ya Serikali

    Unaangaika na mwizi wa Laki Mbili unaacha wa mabilioni. Kweli bangi nibangue
Back
Top Bottom