Ni jambo la busara sana kumtembele Mh. Lema kule gerezani. Natumaini Mh. Lowasa pajoma na wastahiki mamea kwa pamoja mmetuwakilisha kwa wingi wetu na kuzifikisha salamu zetu wana Arusha kwa mh. Lema. Sote tunamtakia afya njema na ushindi! Pia tunamtakia mwaka mpya mwema! 2017!
Habari ndugu.
Mimi kwa upande wangu siwezi kuwaita matapeli. Nitakuwa nimesha wahukumu. Isipokua naweza kusema ni moja ya mbinu zao tu za kisiasa kwakua katika siasa kuna mbinu nyingi sana za kutumia ili kujipatia wafuasi wengi zaidi. Hii ni kwasababu siasa hasa za Tanzania na afrika kwa ujumla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.