Search results

  1. M

    Lowassa akiongozana na Meya wa Jiji la Arusha wamtembelea Lema gerezani Kisongo

    Ni jambo la busara sana kumtembele Mh. Lema kule gerezani. Natumaini Mh. Lowasa pajoma na wastahiki mamea kwa pamoja mmetuwakilisha kwa wingi wetu na kuzifikisha salamu zetu wana Arusha kwa mh. Lema. Sote tunamtakia afya njema na ushindi! Pia tunamtakia mwaka mpya mwema! 2017!
  2. M

    Ama kweli Mbowe na Slaa ni matapeli wa siasa

    Habari ndugu. Mimi kwa upande wangu siwezi kuwaita matapeli. Nitakuwa nimesha wahukumu. Isipokua naweza kusema ni moja ya mbinu zao tu za kisiasa kwakua katika siasa kuna mbinu nyingi sana za kutumia ili kujipatia wafuasi wengi zaidi. Hii ni kwasababu siasa hasa za Tanzania na afrika kwa ujumla...
Back
Top Bottom