Mungu aendelee kukubariki kwa kuchukua uamuzi mzuri wa kuachana na mume wa mtu. Endelea kumtumikia na kumtumainia Mungu kwani yeye ndo anajua ni yupi aliyekutayarishia ili awe wako wa milele.
Shombo si ndio kawaida yake ile kitu..............lazima wanawake mtasema hayo maneno kuwa asamehewe na hii inaonyesha wazi kuwa michezo hii ndo desturi yenu wengi wenu. Mnataka amsamehe ili baadae aje kumuuwa kwa ukimwi ndo mtafurahi, huyo mwanamke ni kicheche na hawezi kubadili hiyo tabia...
Hii kitu yako nimeisoma halafu inaonyesha japokuwa ulianza kwa kusema wewe huwa hutoi hizo siri za watu lakini ukweli ni kwamba wewe sio mshauri mzuri na unapenda sana umbea kujua matatizo ya watu halafu uyatangaze kama ulivyofanya kuja kuyatangaza hapa matatizo ya huyo bro wako. Pia Bi mkubwa...
Wee nae vipi? au unajifanya mgeni na nchi hii, hao pilisisiemu walikuwa na haja ya kumkamata huyoo muuajii mwenzao? tokea mwanzoni walishaanza kupindisha habari na kusingizia kuwa kuna kitu kizito kilirushwa kutoka upande wa wanachama wa Chadema, hiyo story ilififia baada ya kuona wanaharakati...
Mkuu, wewe ulipomtokea huyo binti nia yako ilikuwa umkamue yeye au ulitaka umkamue na mwanae? unaulizia habari ya mwanae kwani unataka umuhesabu kwenye sensa?
yeah! nilianza kukuonea huruma huku nusu ya nafsi yangu ikikupongeza kwa upendo na kumjali mumeo. Ni kweli haya mambo yanatokea au hata kama siyo jambo hilo exactly basi linalofanana na hilo. Mungu ni mwema tumuombe tu awape mawazo sahihi wale wote wanaokutwa na matatizo ya aina hiyo wapate...
Daaaah!! snowhite yaani nilikuwa nasoma kwa makini mno huu ujumbe wako, nilihisi Daktari kakula mzigo kumbe ni nukuu za wimbo. Ila kama Dk kala mzigo poa tu umeokoa uhai wa mumeo na inabidi umwambie mumeo hata akikuacha haina noma Mungu atakulipa kwa wema wako wa kuokoa uhai wake na pia...
Mamba ambaye CCM walikuwa wanamfuga kwenye mtungi leo hii amekuwa mkubwa, kavunja mtungi na ameanza kula watoto wa mfugaji..............Hiyo ni mwanzo tu hadi pale CCM mtakapoacha sera zenu za kupandikiza udini.
khaaaa!! hivi kweli bado kuna wanawake wenye mentality ya spending tu dunia hii ya sasa hivi ambao wanategemea mkwanja kutoka kwa kidume?. Thanx God kwa kunipa mwanamke mchakalikaji na anayejua nini maana ya maisha ya kusaidiana. Kwahiyo mleta uzi unamaanisha unataka hapa jamvini ajjitokeze...
Umempa ushauri mzuri lakini kwa upande wangu nahisi jamaa anamegewa na kidume kingine pembeni. Mwezi mmoja bila ya kuchana marinda halafu wanandoa?, hapo lazima kuna kitu kinaendelea........
umeona enheee!!!........yaani watoto wanasumbua hatari hapa ila shule zimefunguliwa tayari watapungua, tusubirie likizo ijayo waje tena kuleta kesi zao za kujazana mimba shuleni huko. Mtu anakuja kuuliza hapa habari za kulana koni na demu wake, si aende kwa Bakhresa wana[potengeneza koni ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.