Recent content by Mosi-O-Tunya

  1. Mosi-O-Tunya

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Duh! Vasco Da Gama wa Tanzania
  2. Mosi-O-Tunya

    Ni halali Jakaya Kikwete kuitwa Al-Hajj.?

    Al Hajj Dokta Luteni Kanali Rais Jakaya Mrisho Kikwete
  3. Mosi-O-Tunya

    Tall building a threat to Ikulu

    Hao wote wanaohusika inaonekana hawakuliona hilo hapo mwanzoni, lakini dunia inakoelekea sasa, ndio wameshtuka! Pia ni uzembe tu wa idara ya usalama wa taifa (TISS). Walitakiwa wapinge mapema hilo, lakini sijui walikuwa wapi. Huwezi kujanga majengo marefu karibu na ikulu. "With the...
  4. Mosi-O-Tunya

    Kwako wewe, nani ni Greatest Icon(Greatest Political Figure) wa Afrika?

    Alyekuwa kiongozi wa kwanza kuachia ngazi Afrika si Nyerere bali Senghor wa Senegal
  5. Mosi-O-Tunya

    Tanzania's Presidential Protection Unit (PPU)

    Tanzania's Presidential Protection Unit (PPU)? Uganda wana PPU, wana ISO (Internal Security Organisation) ya usalama wa ndani na wana ESO (External Security Organisation) kazi zao ni ujasusi. Kenya wana NSIS (National Security Intelligence Service) Hii ina idara kubwa mbili. Ya ndani na ya...
  6. Mosi-O-Tunya

    Is Bakari Kitwana a Tanzanian?

    Bakari Kitwana si Mtanzania. Ni matunda ya "Civil Rights Movement" za miaka ya 60 na 70. Jamaa zetu wenye mwelekeo wa siasa kali kama vile "Black Pathers" waliamua kuchukua majina ya Kiafrika na kuasili Kiswahili kama lugha yao, kwa kuwa majina ya Kizungu na Kiingereza kwao ilikuwa ni vya...
  7. Mosi-O-Tunya

    Is Bakari Kitwana a Tanzanian?

    Angalia tovuti ya Bakari Kitwana. http://www.bakarikitwana.com/main.html Mosi-O-Tunya
Back
Top Bottom