Recent content by Moseley

  1. Moseley

    Jirani yangu kapoteza ufahamu gafla chooni ila ni mzima

    Iliwahi kunitokea pia. Mimi nilianguka nikapigiza kichwa though sikuanguka vibaya.. Mke wangu alinisikia nikikoroma, akaja kanikuta chini. Nilikua naona kama naota kama kizungu zungu hivi.. Ilikua immediately baada ya haja ndogo... Nilienda hospital moja kubwa kuchunguzwa, nikaanza na...
  2. Moseley

    Kwanini mkoa wa Iringa hakuna hoteli zenye hadhi ya juu

    Saivilla na Gentle hills.. panatosha pako vizuri
  3. Moseley

    Yeriko Nyerere, Shirika la Majesuit la Kanisa Katoliki siyo majasusi kama unavyodanganya

    Sijapitia uzi wote, ila tafuta vitabu hivi na uvisome vyote.. 1. THE SECRET TERRORIST 2. THE ENEMY UNMASKED.. Halafu urudi.
  4. Moseley

    Kero: George Marato wa ITV

    Taarifa ya habari ITV bila George Marato, inakua haijakamilika...
  5. Moseley

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Mwanakijiji, tatizo Dr Slaa, anaonekana kumwongelea Lowasa peke yake. Jana alivyoambiwa kuongelea ufisadi, alionekana kuegemea upande mmoja tu na kuonekana kumsifia Magufuli. Swali nalofikiri, kwa nini Dr Slaa asingemkatalia Gwajima in the first place? Kwa nini alimuanganisha Gwajima na...
  6. Moseley

    Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Mbona wingu liko clear hivo? Hiyo sio DSM.. Huoni hali ya umawingu mawingu ya leo? Acheni propaganda.
  7. Moseley

    Majambazi waua maeneo ya Mwenge karibu na Oil Com

    Ni hapa ndo tukio lilitokea. Hapa nilipiga picha kama 40mins baada ya tukio.
  8. Moseley

    Software kwa ajili ya SACCOS

    Ofcoz yangu ni web based
  9. Moseley

    Software kwa ajili ya SACCOS

    Nitafute mkuu.. Nina software ya aina hiyo 0759877896.
  10. Moseley

    Nina Tshs. 300,000, Naweza kuifanyia nini ili mpaka July niwe nimepata ada ya Tshs. 1,114,400?

    Jaribu kwenye foundation zile kama za flavianamatata foundation. Wanaweza wakakusikiliza.
  11. Moseley

    Nataka kununua Toyota Voltz au Toyota Alex

    Naomba ushauri. Nina mpango wa kuagiza gari moja kati ya hizo mbili. Nichukue ipi? Na kwa nn?
  12. Moseley

    Kafulila vs Zitto, Nani aliibua hoja ya Escrow Bungeni?

    Anawayawaya.. analewalewa.. simweshimu tenaa.. ni saa ya ufufuoo na uzimaaaaa... mambo ya gwajima
Back
Top Bottom