Msiwe mechanical sana wakati mwingine!
Kama mkeo anasumbuliwa kazini ni nani wa kimfariji sasa? Do you real love and care your wife? Mchana wote ulikiwa kazini au kwwnye mitikasi yako. Umerudi badala ya kukaa na kuongea na watoto na mkeo uko busy na mpira. Kichwa maji hicho!
Halafu akipata mtu...
[/I]
Ndugu Mkandara
Tunashukuru sana kwa analysis hii ambayo imeenda shule ya kutosha. Binafsi nilikuwa sijaelewa na sikuweza kuchangia chochote kwa sababu naamini mtu ukiona mtu anapingana na wengi ni vema ukamsikiliza kwanza kabla ya kumshambulia. Bahati mbaya nadhani ndugu Waberoya...
Hivi hakuna uwezekano wa kuwa na kipind maalumu kwa kweny ITV kila siku katika siku zilizobaki kumpa rais wetu mtarajiwa awe anamwaga vitu hapo wakuu au sheria hairuhusu?
This is true
Leo nimetoka kuongea na kaka yangu kwenye simu nikamuuliza utamchagua nani! kwanza alianza kucheka akaniambia ngoja kidogo akaondoka alipokuwa. Baadae akaniambia nilikuwa naogopa kukuambiwa kuna watu wengi pale mi namtaka Dr. Slaa. Kwa hali ilivyo inaonekana ukisema ukweli unawekewa...
Kikwete ni sehemu ya matatizo ya watanzania! Wengi wana mawazo kama yake kudhani vitisho ndo solulu ya matatizo! juzi juzi tu tumeskikia wasomi wa chuo wakipigwa mkwara na wakanywea! kwa hiyo ni system nzima mbovu! na kwasbabu wanaona madai ya watu yana maana ndo maana wanaaamua kukomaa bila...
Kufanya kazi masaa zaidi ya kumi
darasa moja wanafunzi 600 hadi 1200 CKD
Mshahara ndo hivyo tena
kiinua mgongo kiduchu
security ya kazi inategemea unahem vipi utawala wa ccm
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Kweli tunawapenda wasomi wetu!
Je serikali inawajali hawa watu
Tunafikiri matokeo yake ni...
Hi kuna mtu anaweza toa tathmini ni lini familia ya mkapa yote ilikuwa kwenye siasa. Mama mkapa alikuwa anafanya kazi kama first lady!
Just by comaprison huyu ndungu kuanzia mtoto wa miaka kumi na mbili wote anataka kuwa kwenye siasa! What is wrong with them. Tayari baba yao kaonesha failure...
Any idea kuhusu uwezekano wa kupata usajili kabla ya uchaguzi na kuwa je chama kitashiriki kwenye mchakato! Siyo watu wajiunge halafu chama haieleweki kama kina mtu anayegombea urais!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.