Search results

  1. Mnyisunura

    Hii ni kwenu wasichana

    Msiwe mechanical sana wakati mwingine! Kama mkeo anasumbuliwa kazini ni nani wa kimfariji sasa? Do you real love and care your wife? Mchana wote ulikiwa kazini au kwwnye mitikasi yako. Umerudi badala ya kukaa na kuongea na watoto na mkeo uko busy na mpira. Kichwa maji hicho! Halafu akipata mtu...
  2. Mnyisunura

    CCM kujivua ‘gamba’ Dodoma

    Kigawo Kikubwa cha Shirika (KKS), Kigawo Kidogo cha Shirika (KDS)
  3. Mnyisunura

    Risk Assessment and Management: CHADEMA nayo Imuondoe Dr. W. Slaa!

    Ukiona maada yeyote ile ina washabiki wengi ujue imewagusa! Nadhani huu ndo ukweli wa maada hii!
  4. Mnyisunura

    Risk Assessment and Management: CHADEMA nayo Imuondoe Dr. W. Slaa!

    [/I] Ndugu Mkandara Tunashukuru sana kwa analysis hii ambayo imeenda shule ya kutosha. Binafsi nilikuwa sijaelewa na sikuweza kuchangia chochote kwa sababu naamini mtu ukiona mtu anapingana na wengi ni vema ukamsikiliza kwanza kabla ya kumshambulia. Bahati mbaya nadhani ndugu Waberoya...
  5. Mnyisunura

    Elections 2010 Masha adondoshwa Jimbo la Nyamagana; Wenje (Chadema) ashinda

    Wamechakachua matangazo ya ITV mtangazaji alipkuwa anatoa Data wamekata matangazo wanaogopa kuaibika. Inaonekana Mwanza ni issue huko
  6. Mnyisunura

    Elections 2010 PICHA: Dr. Slaa in Singida today

    waraa kazi inaoneka
  7. Mnyisunura

    Elections 2010 Dr Slaa ITV Live sasa

    Hivi hakuna uwezekano wa kuwa na kipind maalumu kwa kweny ITV kila siku katika siku zilizobaki kumpa rais wetu mtarajiwa awe anamwaga vitu hapo wakuu au sheria hairuhusu?
  8. Mnyisunura

    Elections 2010 Uwezekano wa Bradley Effect Kwenye Matokeo ya Tafiti za REDET na SYNOVATE

    This is true Leo nimetoka kuongea na kaka yangu kwenye simu nikamuuliza utamchagua nani! kwanza alianza kucheka akaniambia ngoja kidogo akaondoka alipokuwa. Baadae akaniambia nilikuwa naogopa kukuambiwa kuna watu wengi pale mi namtaka Dr. Slaa. Kwa hali ilivyo inaonekana ukisema ukweli unawekewa...
  9. Mnyisunura

    Mwaweza kuninukuu.. You can quote me!

    imetulia mkuu hii
  10. Mnyisunura

    Kikwete azungumza na wazee wa Dar; ajiandaa kwa mgongano na TUCTA

    Kikwete ni sehemu ya matatizo ya watanzania! Wengi wana mawazo kama yake kudhani vitisho ndo solulu ya matatizo! juzi juzi tu tumeskikia wasomi wa chuo wakipigwa mkwara na wakanywea! kwa hiyo ni system nzima mbovu! na kwasbabu wanaona madai ya watu yana maana ndo maana wanaaamua kukomaa bila...
  11. Mnyisunura

    Wahadhiri vyuo vikuu vya umma kugoma

    Una uhakika kuwa vyuo vya kanisa wanasoma mapambio mkuu au ndo unasema tu mradi kusema ionekane umesema!
  12. Mnyisunura

    Wahadhiri vyuo vikuu vya umma kugoma

    Kufanya kazi masaa zaidi ya kumi darasa moja wanafunzi 600 hadi 1200 CKD Mshahara ndo hivyo tena kiinua mgongo kiduchu security ya kazi inategemea unahem vipi utawala wa ccm >>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>> Kweli tunawapenda wasomi wetu! Je serikali inawajali hawa watu Tunafikiri matokeo yake ni...
  13. Mnyisunura

    Kesho ya Kikwete ni chungu kuliko leo ya Mkapa

    Hi kuna mtu anaweza toa tathmini ni lini familia ya mkapa yote ilikuwa kwenye siasa. Mama mkapa alikuwa anafanya kazi kama first lady! Just by comaprison huyu ndungu kuanzia mtoto wa miaka kumi na mbili wote anataka kuwa kwenye siasa! What is wrong with them. Tayari baba yao kaonesha failure...
  14. Mnyisunura

    Jinsi ya Kujiunga na CCJ kwa njia ya Simu

    Any idea kuhusu uwezekano wa kupata usajili kabla ya uchaguzi na kuwa je chama kitashiriki kwenye mchakato! Siyo watu wajiunge halafu chama haieleweki kama kina mtu anayegombea urais!
  15. Mnyisunura

    Zitto:Uchunguzi wa EPA kiini macho

    Hii ilishatabiriwa! Hivi kuna mtu alitegemea lolote kutokana na zile kesi tangu mwanzo! Hayo ni mazingaope tu waliona upepo mbaya wakaamua kuanzia maigizo hayo! In real sense kwa mtu mwenye akili tangu mwanzo ilikuwa ni uigizaji tu!
  16. Mnyisunura

    UDSM Wanasayansi ila Michango yao haionekani katika Taifa la Tanzania

    Kwa nyongeza kuhusu suala la tafiti! Mimi naamini pamoja na serikali kutoweka vipaumbele hata kwenye industry nako bado ni tatizo. Innovation inatokana na matatizo wanayokumbana watu kila siku katika utendaji wa kazi zao iwe kwenye viwanda au kwenye maisha ya kawaida. Mwanasayansi pamoja na...
  17. Mnyisunura

    Wasiostahili kurudi bungeni 2010

    Jina la Mbunge: Bibi Estherina Kilasi Jimbo: Mbarali Muda bungeni: Miaka 10 Sababu: hana mchango wowote bungeni na jimboni kwake tangu alipolipokea jimbo mpaka leo hakuna lolote alilofanya Mbarali ina misukosuko mingi na yeye yupo hatuoni anafanya nini kuhakikisha anatatua matatizo...
  18. Mnyisunura

    Rushwa yaendelea kuisakama CCM hadi Chipukizi

    Jamani mabadiliko yanaanza kwako! Ukikataa kuipigia kura ccm mwaka huu utasaidia sana kuondoa haya matatizo yanayojitokeza haya. Hawa jamaa wanataka nchi iendeshwe kichif. Kibaya zaidi afadhali machif walikuwa na vision wenyewe ni sifuri
  19. Mnyisunura

    Waraka wa Waislam Kuelekea Uchaguzi

    Mi na wasiwasi na uwezo wa hawa watu kufikiri! Hivi hawa jamaa wanajua wanachofanya kweli?
Back
Top Bottom