Na kweli nimepoteza mda wangu kusoma post ndefu, isiyo na maana yoyote. Umri mwingi huondoa hadi akili mtoa mada baki ucheze na wajukuu, ushapitwa na wakati. El ndio jibu.
Ww msomi wa darasa. Bakhresa ni msomi wa vitendo,anamudu kuendesha biashara ni bingwa. Wasomi wanapiga magoti kwake, kwanini? Yeye ndie msomi mkuu kuendesha biashara si mchezo. Wasomi wengi ni watumwa tu wa wafanya biashara. Wezi kazi katika nafasi zao. Bakhresa wacha chezea huyo mtu kichwa...
Heshima kweni wakuu. Nilikuwa nasikia halafu nikajionea mwenyewe. Mtu anapiga kelele, kutetemeka na kusema maneno ya ajabuajabu eti kapandisha shetani.
Inakuwaje sipati jibu. Nawaombeni mnielimishe kuhusu hili karibuni wakuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.