Recent content by mkupuo

  1. M

    Nini kilikufanya ukaacha kwenda kuabudu kwenye nyumba ya ibada?

    Michango ilizidi sana lakini mapato yangu hayaongezeki. Nikaona hapa kanisa linanichuna tu sawasawa na ninavyochunwa na mchepuko.
  2. M

    Pesa zetu si salama tena Benki, kuna wizi unafanywa na wafanyakazi

    Itaje sasa hiyo Benki ili utusaidie sisi kujihami.
  3. M

    Ndugu zangu Waislamu mmeshindwa vipi kuwa na hospitali kubwa Kama KCMC na Bugando?

    Mkuu hao matajiri unaowasema ni Waarabu/Wahindi. Siyo waisilamu wa Mpitimbi ujue! Hivyo usichanganye uislamu na Uarabu/Uhindi hata kama vina uhusiano.
  4. M

    Baada ya kifo chako utajikuta ukiwa katika makazi mapya

    Mkuu nenda kapate chakula Cha mchana kwanza, akili itakaa sawa.
  5. M

    KERO Ukosefu wa maji mtaa wa Luguruni (Jino kwa Jino)

    Mkuu waleteni ITV saiti walilipoti hilo jambo la kukosa Maji Kwa muda mrefu. Wiki haitaisha, mtaletewa maji mengi hadi myakimbie wenyewe.
  6. M

    Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

    Kwa jinsi ulivyoandika kijinga jinga hivyo, Kuna Kila dalili kuwa ulisha vuliwa ubingwa.
  7. M

    Utulivu kwenye tendo la ndoa

    Mkuu chunga sana akikili Yako. Itakufanya uwe masikini wa kutupwa. Haiwezekani alfajiri yote hii unawaza tendo la ndoa badala ya kuwaza Noti.
  8. M

    Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

    Mkuu unapigaje hapo?
  9. M

    DOKEZO Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

    Hii habari ipo humu JF tangu Jana/juzi.
  10. M

    Hali halisi ya ajira ya Ualimu Tanzania

    Mkuu umezungumzia Hali ya ualimu TZ au masaibu uliyokutana nayo kwenye ualimu?
  11. M

    Serikali ianzishe posho ya walimu ili kudumisha uzalendo kwa kizazi cha Watanzania

    Mkuu sema serikali irudishe posho ya walimu. Hii posho ilikuwapo enzi za mh. Ally Hassan Mwinyi ila ikaondolewa na Mkapa. Ilikuwa inaitwa teaching allowance na ni 50% ya basic salary.
  12. M

    TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    Sasa ndugu yangu Melo, hata picha hamna?
  13. M

    DOKEZO Waziri Mchengerwa huyu mkurugenzi wa Tunduru, Chiza Marando na PS wake Prisca Nyoni wananyanyasa watumishi

    Mambo mengine ni kuendeleza ujinga tu. Yani PS na Mkurugenzi wake ni wakushtaki kwa waziri kweli? Hao unaowaona wewe mwenyewe uso kwa uso na issue inaisha. Wasikutishe kwa chochote.
  14. M

    Ushauri: Nimejaribu kujiua imeshindikana. Naomba ushauri wa kuondokana na kukata tamaa

    Mkuu acha utani basi. Kwamba umejaribu kujiua imeshindikana! Hii siyo kweli. Mtu ukidhamiria kujiua ni sekunde chache tu shughuli inaisha.Wewe sema tu umepata changamoto ktk maisha hivyo unaomba msaada ili ujikwamue usiipe uzito hiyo changamoto na jaribio feki la kujiua.
Back
Top Bottom