Search results

  1. M

    Pesa zetu si salama tena Benki, kuna wizi unafanywa na wafanyakazi

    Itaje sasa hiyo Benki ili utusaidie sisi kujihami.
  2. M

    Ndugu zangu Waislamu mmeshindwa vipi kuwa na hospitali kubwa Kama KCMC na Bugando?

    Mkuu hao matajiri unaowasema ni Waarabu/Wahindi. Siyo waisilamu wa Mpitimbi ujue! Hivyo usichanganye uislamu na Uarabu/Uhindi hata kama vina uhusiano.
  3. M

    Baada ya kifo chako utajikuta ukiwa katika makazi mapya

    Mkuu nenda kapate chakula Cha mchana kwanza, akili itakaa sawa.
  4. M

    KERO Ukosefu wa maji mtaa wa Luguruni (Jino kwa Jino)

    Mkuu waleteni ITV saiti walilipoti hilo jambo la kukosa Maji Kwa muda mrefu. Wiki haitaisha, mtaletewa maji mengi hadi myakimbie wenyewe.
  5. M

    Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

    Kwa jinsi ulivyoandika kijinga jinga hivyo, Kuna Kila dalili kuwa ulisha vuliwa ubingwa.
  6. M

    Utulivu kwenye tendo la ndoa

    Mkuu chunga sana akikili Yako. Itakufanya uwe masikini wa kutupwa. Haiwezekani alfajiri yote hii unawaza tendo la ndoa badala ya kuwaza Noti.
  7. M

    Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

    Mkuu unapigaje hapo?
  8. M

    DOKEZO Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

    Hii habari ipo humu JF tangu Jana/juzi.
  9. M

    Hali halisi ya ajira ya Ualimu Tanzania

    Mkuu umezungumzia Hali ya ualimu TZ au masaibu uliyokutana nayo kwenye ualimu?
  10. M

    Serikali ianzishe posho ya walimu ili kudumisha uzalendo kwa kizazi cha Watanzania

    Mkuu sema serikali irudishe posho ya walimu. Hii posho ilikuwapo enzi za mh. Ally Hassan Mwinyi ila ikaondolewa na Mkapa. Ilikuwa inaitwa teaching allowance na ni 50% ya basic salary.
  11. M

    TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    Sasa ndugu yangu Melo, hata picha hamna?
  12. M

    DOKEZO Waziri Mchengerwa huyu mkurugenzi wa Tunduru, Chiza Marando na PS wake Prisca Nyoni wananyanyasa watumishi

    Mambo mengine ni kuendeleza ujinga tu. Yani PS na Mkurugenzi wake ni wakushtaki kwa waziri kweli? Hao unaowaona wewe mwenyewe uso kwa uso na issue inaisha. Wasikutishe kwa chochote.
  13. M

    Ushauri: Nimejaribu kujiua imeshindikana. Naomba ushauri wa kuondokana na kukata tamaa

    Mkuu acha utani basi. Kwamba umejaribu kujiua imeshindikana! Hii siyo kweli. Mtu ukidhamiria kujiua ni sekunde chache tu shughuli inaisha.Wewe sema tu umepata changamoto ktk maisha hivyo unaomba msaada ili ujikwamue usiipe uzito hiyo changamoto na jaribio feki la kujiua.
  14. M

    Je, ni kweli Yanga tunafanya hivi?

    Ujinga mtupu. Timu haikutajwa, sasa ni kwa nini wewe uhisi hiyo timu ni Yanga?
  15. M

    Msaada: Niliingia mkataba wa bajaji kwa miaka miwili, baada ya miezi 20 nimepokonywa bajaji

    Kama unamkataba wa maandishi. Nasisiitiza tena mkataba wa maandishi, basi hiyo bajaji ni Yako. Nenda mahakamani kafai haki Yako. Ila kama ni mkataba wa mdomo (maneno) basi imekula kwako.
  16. M

    Fatma Karume: Hatuna Haki ya Kulalamika Uzawa wa Dr Hussein Mwinyi kwa sababu amezaliwa Zanzibar

    Huyo Binti anaandika sana mitandaoni vitu vya kijinga. Mara nyingi Binti akiishi bila mume (ndoa) hukosa hekima.
  17. M

    Mahakama Kuu yamhukumu Grace Mushi kunyongwa hadi kufa kwa kumchoma mpenzi wake ndani ya nyumba mpaka kufa

    Mkuu ndiyo kiswahili hicho au wewe ni mkimbizi ndani ya hii nchi? Kupiga muziki je?. Kupiga deki je? Kupiga soga je? Kupiga pasi je? Nk nk nk
  18. M

    Mahakama Kuu yamhukumu Grace Mushi kunyongwa hadi kufa kwa kumchoma mpenzi wake ndani ya nyumba mpaka kufa

    Khaaaa! Sasa mbona nyundo asubuhi hivi kabla hata watu hatujapiga mswaki?
  19. M

    Mahakama Kuu yamhukumu Grace Mushi kunyongwa hadi kufa kwa kumchoma mpenzi wake ndani ya nyumba mpaka kufa

    Khaaaa! Sasa mbona nyundo asubuhi hivi kabla hata watu hatujapiga mswaki?
Back
Top Bottom