Dr Kimei amejitahidi sana kuijenga CRDB imeenea nchi nzima huduma za uhakika na imesaidia kukuza uchumi wetu Tz, hasa mikopo, saving, kukuza sekta ya kilimo, viwanda na ajira. Amekua mfano wa kuigwa.
Hata uwanja wa majengo upo karibu na taasisi kama majengo sec, majengo Primary, kituo cha afya majengo. Serikali iache unafki izue maziko ya umma ili nafsi ya Gambo magu na wana ccm ziridhike, si ifike jumatatu watume magari ya polisi.
Kumbe mtukufu mfalme alikuja kutuhonga! Vipi ujio wa rais wa Uturuki hapa Tz nae anataka tumpe nn? Au kudhibiti wale wa Turuki waliotaka kumpindua wenye vitega uchumi hapa nchini???
Huyu naibu spika hovyo, naanza kuelewa kwa nn walizuia bunge live. Aache waziri mkuu ajibu maswali yeye ni kama msimamizi tu kwenye mtihani anapochagua nn kijibiwe inaonesha anajipendekeza kwa waliomteua.
Hata waziri wa habari wa Iraq alikanusha kuwa hawajazidiwa nguvu, hata ATCL, TRL, TWIGA BANK, G sport nk nk walikuwa wanakanusha na kusema mambo ni shwari makampuni yana hali nzuri. Wanaofanya kazi humo tunao mtaani wansema hali si nzuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.