ila waislam tuuujiandae kwani huyu mama ni mdini nasijui karudishwaje ? hao ndo mambo ya kitengo? mmh aya waislam tutaisoma namba adui yetu karudi!!!!!
wewe utakuwa na akili za kishanging kama huyo muhongo kwa kuutetea upumbavu wake uo ujinga hiii nchi inatia hasila waliahidi kama kawaida yao umeme wa gesi utatosha sasa yamekuwa hayo ya kununua umeme wa gesi kutoka ethiopia daaaahhhhh! sheeeet ama kweli hili shamba la bibi
maskin mama magreth sitta alijitapa kwamba hataki unaibu waziri anataka uwazir kamili nampa pole yake!! ameisoma namba halafu hbr nilizopenyezewa hata hao wakina nqpe mwigulu na marope ni baadaya mvutano mkali na CC
jamani wanajf mm ni mhanga wa watu waliobiwa kwani ninakabuguru kangu ambako nimeamua nikafanyie wayaringi baaada ya kupata hela yangu ya msoto wa tumbaku lakini chaajabu fundi ananiambia soon baada ya kufanya wayaring atachora raman ambayo itaenda kugongwa MUHURI kwa tsh 50000 nakumbuka miaka 2...
du katika taasisi inayoendeshwa kwa mjuano hii inaongoza magufuli kama unanisikia popote fukuxa watendai wakuu wa bodi hzo pesa walikuwa wamebana kwa ajili ya semina na makongamano na tour za nje nchi kwa hiyo hotuba ya jana imewatisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.