Recent content by Miwatamu

  1. Miwatamu

    Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    Binafsi kwanza hii ya 95% naikataa. Lakini kubwa kabisa kufanya mapenzi na mwanamke mnene ni usumbufu. Unakuwa kama unamgeuza tembo. Yaani kuufikia mzigo wenyewe tu ni sheeda. Wakati mwingine mnalazimika kutumia style moja ili kupata radha.
  2. Miwatamu

    Shamba/viwanja vinauzwa Bagamoyo

    Process za upimaji zinafanyika baada ya kuridhia na kukua unahitaji heka ngapi kwani shamba ni kubwa. Na ukipenda baada ya makubaliano na kuleta watu wa ardhi ndio unaweza kumalizia malipo. Sehemu ni nzuri sana. Kwa maelezo zaidi Nipigie simu
  3. Miwatamu

    Shamba/viwanja vinauzwa Bagamoyo

    Ili kuepukana na kimbunga cha bomoa bomoa za kila siku, nunua shamba sehemu ya uhakika na Salama. Nina shamba linauzwa kuanzia heka 1 hadi 15 eneo la Kidomole umbali wa kilometa 14 tu toka Bagamoyo mjini Barbara mpya ya Bagamoyo - msata. Eneo hilo ni zuri sana kwa makazi na shughuli nyingine za...
  4. Miwatamu

    Haya sasa kumekucha twende Jangwani

    Mbona ni sasa hivi tu tumeona makamanda wa usalama barabarani wakijinadi kuwa hawako tayari kuona sheria za barabarani zinavunjwa kwa nashabiki wa vyama kupakizana kwenye maroli, sasa inakuwaje leo mbona hata siku haijapita na kosa hilo linatendwa na chama tawala? Je, vyama pinzani wakifanya...
  5. Miwatamu

    Mkutano wa Baraza Kuu CHADEMA - Agosti 03, 2015

    Mawazo ya kichwa cha mwenda wazimu hayo.
  6. Miwatamu

    Edward Lowassa special thread

    Naomba namba ya whatsapp jmn ya team EL
  7. Miwatamu

    Naibu waziri wa mambo ya ndani alia mbele ya raisi Kikwete

    Hata mimi nineiona hali hiyo. Kamasi lilikuwa linadondoka kila wakati. Hata hivyo hana haiba ya kuwa mwanasiasa.
  8. Miwatamu

    Vyombo vya habari Tanzania vinatumika kuihujumu CCM?

    Kwani umelazimishwa kuiangalia ITV? basi hamia TBC.
  9. Miwatamu

    Angalizo kwa Dr. Slaa na Edward Lowassa!

    I like this explanation to the our leaders and their fellows.
  10. Miwatamu

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    hivi hadi sasa zimefikia ngapi jamani?
  11. Miwatamu

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Acha wamalizane ili UKAWA iendesha gari kwenye mteremko bila kuhitaji wese!! Circulation with it's numbers never die.
  12. Miwatamu

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Wajameni hebu nambieni vizuri. Ni kweli ma-MVI amekatwa, na wengine ni wepi? tujuzane wadau ili niende bar sasa hivi.
  13. Miwatamu

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    jamani nini kinajiri huko dom hadi mida hii? tujuzeni walau kwani wengine tumekosa hadi usingizi.
Back
Top Bottom