MWAKA HUU NI SIASA TU..TUSIKILIZE HII...TAFAKARI NA CHUKUA HATUA KWA KUJIANDIKISHA KUPIGA KURA! WAKATI NDIO HUU.
https://www.youtube.com/watch?v=Sc5-9kIufvA&feature=youtu.be
MODIS... naomba USIZITOE HIZI... Tujifunze kwa maana mwaka huu ni mkumbwa katika historia ya nchi yetu.
1. https://www.youtube.com/watch?v=9HiYSmiRX6U&feature=youtu.be
2. https://www.youtube.com/watch?v=gdJ7Ad15WCA&feature=youtu.be
3...
https://www.youtube.com/watch?v=9HiYSmiRX6U&feature=youtu.be
MODIS... naomba uiweke hii pia kama topic inayojitegemea... Tujifunze kwa maana mwaka huu ni mkumbwa katka historia ya nchi yetu. please assist..kitufe cha kupost sikioni. muda wa kujiandaa huu.
tuache ubaguzi...USHINDI DHIDI YA...
https://www.youtube.com/watch?v=gdJ7Ad15WCA&feature=youtu.be
MODIS... naomba uiweke hii kama topic inayojitegemea... Tujifunze kwa maana mwaka huu ni mkumbwa katka historia ya nchi yetu. please assist..kitufe cha kupost sikioni
huyu nyarandu ni fisadi, wanashirikiana na lembeli kufanya ufisadi pale maliasili. Mtu ambaye hamjui lembeli.... Akawaulize tanapa, nini kilichomtoa tanapa? Lembeli ni mtu anayependa vyeo. Atafanya kila kitu ilimradi tu apate uwaziri.. Anamdanaganya nyarandu...na yeye nyarandu bila kujua...
Nyalandu Anadanywa na Lembeli.... naye hana siku nyingi hapo. Cha kushangaza ni kwamba Wiraza ya maliasili imekuwa ni kama mpira wa dana dana.... tembo na wanyama wetu watakwisha kwa style hii ya kihuni
Mkuu umenena vyema. Huyu mzee alihujumiwa kwa sababu ya uchapakazi wake. alikuwa anapigana kiukweli na tayari alishaanza kuwaumbua viongozi wandamizi wanaohusika na chinjachinja ya tembo....wakaona wammalize mapema. Ni kweli 200% angarejeshwa katika nafasi vinginevyo hakuna atakaeweza kuiendesha...
Makamba kafanya nini cha zaidi inchi hii mpaka mnampigia upatu? Anyway....tusikilize... kwakuwa Mkulu huwa anachomekewa tu majina bila ya ku-dig history ya watu... anaweka kugawa hiyo nafasi kwa watu kama hao
UNAFIKIRI NI KWANINI WALIFUTA KODI ZA CUSTOM KWA BODABODA..... Jibu ni kwamba waliproject kuwa watazihitzji katika kununulia KURA, Jr Makamba na EL ndo wameanza kutekeleza mkakati huo kabambe... haya yataendelea nchi nzima na hasa katka miji yenye upinzani zaidi. MIKAKATI YAO NI.....'SPOIL ROADS...
Wanaomfahamu Lembeli... watasema... hoja na maksudi ya report ya team yake ililenga kumtoa Kagasheki. Maana yeye mwenyewe Lembeli ni mtuhumiwa wa ujangili wa kulisha mifugo yake katika hifadhi za wanyamapori. Hajali kitu bali anataka mambo yake yaende tu. Kama alikuwa na na niya ya dhati kwanini...
kongole mkuu Betlehem kwa kutanabahisha suala hili la udukuaji taarifa nyeti za mtu. Ndo mambo ya kina Snowden na mambo ya "Wikiliki" hayo. Cha msingi ni kujilinda kama unataka kuwa salama katka dunia hii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.