Search results

  1. M

    Zitto: Mtwara walikuwa wanauliza...je mtatuachaje? Wakaambiwa wabaguzi!

    MWAKA HUU NI SIASA TU..TUSIKILIZE HII...TAFAKARI NA CHUKUA HATUA KWA KUJIANDIKISHA KUPIGA KURA! WAKATI NDIO HUU. https://www.youtube.com/watch?v=Sc5-9kIufvA&feature=youtu.be
  2. M

    Mwaka huu hatima ya watanzania iko mikononi mwetu...sikiliza hizi..

    MODIS... naomba USIZITOE HIZI... Tujifunze kwa maana mwaka huu ni mkumbwa katika historia ya nchi yetu. 1. https://www.youtube.com/watch?v=9HiYSmiRX6U&feature=youtu.be 2. https://www.youtube.com/watch?v=gdJ7Ad15WCA&feature=youtu.be 3...
  3. M

    Picha: Madiwani wa CHADEMA na magwanda yao warejea CCM wakiwa pamoja na Nape Nnauye na umati

    https://www.youtube.com/watch?v=9HiYSmiRX6U&feature=youtu.be MODIS... naomba uiweke hii pia kama topic inayojitegemea... Tujifunze kwa maana mwaka huu ni mkumbwa katka historia ya nchi yetu. please assist..kitufe cha kupost sikioni. muda wa kujiandaa huu. tuache ubaguzi...USHINDI DHIDI YA...
  4. M

    Picha: Madiwani wa CHADEMA na magwanda yao warejea CCM wakiwa pamoja na Nape Nnauye na umati

    https://www.youtube.com/watch?v=gdJ7Ad15WCA&feature=youtu.be MODIS... naomba uiweke hii kama topic inayojitegemea... Tujifunze kwa maana mwaka huu ni mkumbwa katka historia ya nchi yetu. please assist..kitufe cha kupost sikioni
  5. M

    Picha: Madiwani wa CHADEMA na magwanda yao warejea CCM wakiwa pamoja na Nape Nnauye na umati

    http://t.co/zE3SNSUfga tukikumbushe mwaka huu wa uchaguzi.
  6. M

    Serikali isimfunge mikono Mh Nyalandu

    huyu nyarandu ni fisadi, wanashirikiana na lembeli kufanya ufisadi pale maliasili. Mtu ambaye hamjui lembeli.... Akawaulize tanapa, nini kilichomtoa tanapa? Lembeli ni mtu anayependa vyeo. Atafanya kila kitu ilimradi tu apate uwaziri.. Anamdanaganya nyarandu...na yeye nyarandu bila kujua...
  7. M

    Pangua pangua maliasili yaibua mgogoro mpya

    Nyalandu Anadanywa na Lembeli.... naye hana siku nyingi hapo. Cha kushangaza ni kwamba Wiraza ya maliasili imekuwa ni kama mpira wa dana dana.... tembo na wanyama wetu watakwisha kwa style hii ya kihuni
  8. M

    Unayajua yaliyomkuta Lembeli kabla ya kusoma repoti ya operesheni Tokomeza?

    Mkuu umenena vyema. Huyu mzee alihujumiwa kwa sababu ya uchapakazi wake. alikuwa anapigana kiukweli na tayari alishaanza kuwaumbua viongozi wandamizi wanaohusika na chinjachinja ya tembo....wakaona wammalize mapema. Ni kweli 200% angarejeshwa katika nafasi vinginevyo hakuna atakaeweza kuiendesha...
  9. M

    Nyuma ya pazia ya Operesheni Tokomeza

    wewe na lembeli majangili... Mnataka u-waziri kwa kuwahujumu mawaziri wenzenu....
  10. M

    Ni Mwakyembe au Magufuli kupewa wizara ya Maliasili na utalii

    Makamba kafanya nini cha zaidi inchi hii mpaka mnampigia upatu? Anyway....tusikilize... kwakuwa Mkulu huwa anachomekewa tu majina bila ya ku-dig history ya watu... anaweka kugawa hiyo nafasi kwa watu kama hao
  11. M

    PICHA: Makamba hizi si kampeni za urais

    UNAFIKIRI NI KWANINI WALIFUTA KODI ZA CUSTOM KWA BODABODA..... Jibu ni kwamba waliproject kuwa watazihitzji katika kununulia KURA, Jr Makamba na EL ndo wameanza kutekeleza mkakati huo kabambe... haya yataendelea nchi nzima na hasa katka miji yenye upinzani zaidi. MIKAKATI YAO NI.....'SPOIL ROADS...
  12. M

    PICHA: Makamba hizi si kampeni za urais

    Wameanzia MWANZA, nikatika kampeni tokomeza ya CDM. wakitoka hapo wanaenda ktk miji mingine yenye ngome za CDM.
  13. M

    PICHA: Makamba hizi si kampeni za urais

    Anazitoa kwenye tozo ya simu alizozipigania mpaka zikapita. Fisadi huyu.
  14. M

    Mh. Lembeli unakumbuka yaliyompata Dr. Mwakyembe?

    Wanaomfahamu Lembeli... watasema... hoja na maksudi ya report ya team yake ililenga kumtoa Kagasheki. Maana yeye mwenyewe Lembeli ni mtuhumiwa wa ujangili wa kulisha mifugo yake katika hifadhi za wanyamapori. Hajali kitu bali anataka mambo yake yaende tu. Kama alikuwa na na niya ya dhati kwanini...
  15. M

    Taarifa za Siri za Wanasiasa Kudukuliwa baada ya Kuporwa Laptop/Simu zao.

    kongole mkuu Betlehem kwa kutanabahisha suala hili la udukuaji taarifa nyeti za mtu. Ndo mambo ya kina Snowden na mambo ya "Wikiliki" hayo. Cha msingi ni kujilinda kama unataka kuwa salama katka dunia hii.
  16. M

    ...Balozi Khamis Kagasheki katika hili umeonewa hatia yako siioni bado

    ni vema na kwa kutunza heshima yake mwenyewe na kwazi hii aliyoiagiza mwenyewe mr president... tunakuomba usiikubali barua ya kujiuzuru ya Balozi kagasheki. Na kama haiwezekani... Basi ni vema mteue tena kushika wizara hiyohiyo. Maliasili zetu zinakwisha. mrudishe amalizie safishasafisha...
  17. M

    ...Balozi Khamis Kagasheki katika hili umeonewa hatia yako siioni bado

    Mkuu wa kaya... Tunaomba chonde chonde.. Mrudishe hapo hapo ili vita ya kupambana na ujangiri isipoe. Tunaomba sana mr president
  18. M

    REVEALED: How commercial poachers masterminded Kagasheki's fall

    Rais amrudishe Hon Kagasheki katk kiti chake...kazi iendelee. vinginevyo vita hii ...wameshinda majangiri
  19. M

    Lembeli vipi kashfa hii ya Burigi na Kimisi

    Kama Unataka kujua Ufisadi na Unafiki wa Lembeli... kawaulize TANAPA... huko ndo alikuwa akifanyia kazi kabla ya kuwa mbunge. Huyu jamaa ni fitina tupu. Hafai. Analinda maslahi yake na ya mafisadi wenzake tu. Ni mvurugani mkubwa na hajali maliasili zetu. Huko TANAPA aliibia shirika sana mpaka...
  20. M

    Tujadili kauli hii ya lembeli

    Lembeli naye mnafiki..ni mtu anayetaka madaraka. Mara nyingi sana amekuwa anautamani u-waziri wa maliasili na utalii. Huyu lazima wateuzi wa mawaziri mkaenaye kwa makini. Aliivuruga sana tanapa na ni mtu asiye mtendaji bali ni mwenye kupenda kujilimbikizia mali tu. Raisi kikwete please kuwa...
Back
Top Bottom