Recent content by Midevu

  1. Midevu

    Kwanini vyuo vya Tanzania havina endowment funds?

    Hata jobless hawezi kosa buku teni akipiga mzinga watu kama watano hivi.
  2. Midevu

    Kwanini vyuo vya Tanzania havina endowment funds?

    Endowment fund ni nini? Kwa kifupi, ni mfuko ambao fedha za za michango na misaada kwa chuo huwekwa na kuwekezwa sehemu mbali mbali ili zizalishe faida. Hiyo faida inatumika kutunza thamani ya huo mfuko na kufadhili shughuli za chuo kama tafiti na ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wenye vipaji au...
  3. Midevu

    Boniface Jacob ataja Mawaziri walionunua mahekalu

    Mwanasiasa kawashutumu wanasiasa wengine ambao hajawataja wala hajatoa ushahidi. Mtu yeyote anayemamini haya hadi kuumia moyo kuwa tumeibiwa namuonea huruma sana.
  4. Midevu

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    As long as kila mwaka connection inakatika Kilosa -Gulwe bado kuna kazi kubwa ya kufanya.
  5. Midevu

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Sina details za revenues na matumizi ya TRC ila sidhani TRC wana mapato ya kutosha ya kudeal na tatizo la katikati ya Kilosa na Gulwe. Kumbuka pale sehemu korofi sio moja na kuna vitu vingi vya kufanya pale. Kuna sehemu za kuhamisha reli, kuna sehemu za kujenga madaraja na kuna sehemu za...
  6. Midevu

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    MGR ni reli ya zamani sana. Ina zaidi ya miaka 100. Ilijengwa kwa matumizi ya muda ule ndio maana kwa sasa ni ngumu kuwa competitive. Ukianza kulist shida za MGR kwenye miundo mbinu na rolling stock hatuwezi kumaliza. Mimi naona ni vigumu kujudge competence ya TRC management wakati miundombinu...
  7. Midevu

    Hivi wakemia ulimwenguni kote wameshindwa kabisa kutengeneza dawa ya kutibu UKIMWI?

    Kwa hiyo dawa za HIV haziwezi kuuzwa kwa faida? Yaani wewe ukigundua dawa ya HIV utaacha kuuza sababu kuna ARV sokoni?
  8. Midevu

    Fupa la umeme kumchafua Dotto Biteko?

    Ni ngumu kujudge uwezo wa dereva ukimpa gari bovu, matairi hayana upepo, engine inazima kila dk 5, steering wheel haiendi unakoipeleka, mafuta hayatoshi etc. Kifupi, kwa deficiencies za grid yetu (kuanzia kwenye generation hadi kwa mtu wa mwisho) sio rahisi kujua shida ni ya dereva/waziri au ya...
  9. Midevu

    Ombi la kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi

    Mkuu nafasi za bodi sasa unaweza kuapply. Tuma maombi yako huko uwe kwenye bodi ufanye mabadiliko unayoyatamani.
  10. Midevu

    Ombi la kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi

    Haya mkuu. Nikutakie kila la kheri katika kazi yako hiyo.
  11. Midevu

    Ombi la kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi

    Ni kweli hakuna sheria inayozuia mamlaka za uteuzi kukuajiri na nina amini kama mtanzania una haki ya kuajiriwa na serikali. Ila huoni kama ni sahihi zaidi kabla ya uteuzi wa mtu kushika nafasi za juu serikalini washindanishwe watanzania wenye nia na vigezo na yule mwenye kuwazidi wengine ndiye...
  12. Midevu

    Ombi la kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi

    Watu wenye qualifications kama zako wako wengi hapa Tanzania na nafasi ya kamishna ni moja, what is special about you mpaka upewe wewe? Mali kubwa kwa sasa ni uzoefu na ni kitu naona hauna. Unaweza kubeza suala la uzoefu lakini siku ukija kuingia kazini utaona tofauti ya experienced people and...
  13. Midevu

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    https://www.youtube.com/watch?v=k1xP_iKDrfc https://twitter.com/tzrailways/status/1741026986565525510/photo/1
  14. Midevu

    January Makamba, uliteuliwa ili usimamie ukatwaji wa umeme?

    Umeme haujawahi kuwa wa uhakika Tanzania hii. Tumia Google uone how many times vyombo vya habari vimereport matatizo ya umeme since 2016 to 2021. Pia angalia report za CAG za kipindi hicho. Hawa wanaosema tatizo litaisha after JNHPP nao hawajui shida ni nini? Biteko jana kasema kuna deficit...
Back
Top Bottom