Leo lowasa awe mgombea kupitia chadema chama ilimwandaa lini?kwanini mwonzoni lowasa hakufunguka na aje chadema mpaka akatwe ccm kama siyo uroho wa madaraka?
Naanza kuona mbowe ni mpiga madili na kulinda biashara zake,alimfukuza zitto baada ya zitto kutangaza kutaka kugombea uenyekiti chadema,Leo kamleta lowasa ili apige hela bila kujali watu waliojituma kujenga chama,ccm ishaumia lowasa kutoka,tuone sasa je chadema Slaa akitoka itafika
Mbowe katudhalilisha sana wanachadema,CCM wameingia CHADEMA baada ya Mbowe kumleta Lowassa na wale chadema wasafi wakiumiwa.
Leo CHADEMA imegeuka gafla chama cha kupokea mafisadi huku mbowe na wafuata upepo wakiongea tutoe kwanza CCM madarakani.
Kweli tunaitoa CCM madarakani kwa UKAWA...
Huu muungano wa UKAWA unaudhi sana,chadema tungebaki tu wenyewe,mpaka vikao mnafanya kilocal sana,sometimes hata kama ccm ni mafisadi na tumewachoka ila kuna mambo ya kujifunza,kwanza kwenye utandawazi wa media tumekuwa wabovu,ratiba halisi ya kutaja mgombea haijulikani ni hovyo tu halafu bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.