Search results

  1. michael western

    Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    Leo lowasa awe mgombea kupitia chadema chama ilimwandaa lini?kwanini mwonzoni lowasa hakufunguka na aje chadema mpaka akatwe ccm kama siyo uroho wa madaraka?
  2. michael western

    Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    Dola mshike mgombea wenu akiwa yule fisadi mkuu mliyekuwa mkishikia bango,mnataka kushika nchi kwa kuongozwa na mtu mliyesema ni fisadi
  3. michael western

    Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    Ndo mliwatangaza mafisadi na kuifanya agenda kwenye m4c nchi nzima Leo unaulizaje angenda lingine mbali na ufisadi?unajua hata unachosimamia ww?
  4. michael western

    Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    Waliokuwa wanajipambanua kupinga ufisadi Leo wanasafisha mafisadi
  5. michael western

    Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    Naanza kuona mbowe ni mpiga madili na kulinda biashara zake,alimfukuza zitto baada ya zitto kutangaza kutaka kugombea uenyekiti chadema,Leo kamleta lowasa ili apige hela bila kujali watu waliojituma kujenga chama,ccm ishaumia lowasa kutoka,tuone sasa je chadema Slaa akitoka itafika
  6. michael western

    Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    UKAWA mmekuwa ccm b rasmi
  7. michael western

    Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    Hakuna haja ya kupigia kura ccm b,hivi vyama sasa vimekuwa rasmi matawi ya ccm
  8. michael western

    Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    Kwahiyo mnawatoa ccm madarakani kwa kuwasimamisha mafisadi mliowatangaza
  9. michael western

    Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    Ni wanafki hawawezi kushinda,washaonyesha sura zao
  10. michael western

    Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    Mbowe katudhalilisha sana wanachadema,CCM wameingia CHADEMA baada ya Mbowe kumleta Lowassa na wale chadema wasafi wakiumiwa. Leo CHADEMA imegeuka gafla chama cha kupokea mafisadi huku mbowe na wafuata upepo wakiongea tutoe kwanza CCM madarakani. Kweli tunaitoa CCM madarakani kwa UKAWA...
  11. michael western

    UKAWA waita Wahariri, waahirisha ghafla na kuomba radhi

    Huu muungano wa UKAWA unaudhi sana,chadema tungebaki tu wenyewe,mpaka vikao mnafanya kilocal sana,sometimes hata kama ccm ni mafisadi na tumewachoka ila kuna mambo ya kujifunza,kwanza kwenye utandawazi wa media tumekuwa wabovu,ratiba halisi ya kutaja mgombea haijulikani ni hovyo tu halafu bado...
  12. michael western

    Hivi JF kuna wife material kweli?

    Then how did u know,mmh hayeni
  13. michael western

    Hivi JF kuna wife material kweli?

    Ndo nimemaliza ban,waliniban jana
  14. michael western

    Mme wa mtu anafuatilia mambo ya ndani ya mke wa mtu

    Tafuta vijana wa kazi wampakate lazima atulie
  15. michael western

    Navy Kenzo: Game ft. Vanessa Mdee

    vanessa ana kiuno kigumu
  16. michael western

    CHADEMA (UKAWA) fomu zenu za Mahakama tutajaza na tutajitoa mwishoni kisheria pia

    Mkuu jamaa ana point ingawa kawasilisha vibaya,mfano hao wagombea mtu akienda hospital na kahonga dokta halafu baadaye aseme nilikuwa mgonjwa na ushahidi huu hapa sheria itamfunga vipi maana ana ushahidi kutoka kwa dokta
  17. michael western

    Diamond, Vanessa Mdee nominated in MTV Africa Music Awards 2015

    Kama yeye angekuwa mzalendo kwenye wimbo wange angesema #ngasa kuliko #Ronaldo .
  18. michael western

    Lowassa katika ubora wake leo asubuhi

    Wakuu, Kuna hii video ya waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya ricmond ikisambaa kwenye WhatsApp,akifanya zoezi kudhihirisha yupo fiti. Pamoja na kwamba nia ya video ilikuwa kujibu mashambulizi video inaonyesha huyu mheshimiwa ni mgonjwa kweli. Sikujua kumbe hata kutembea haraka...
Back
Top Bottom