Recent content by Meshack mtobwa

  1. Meshack mtobwa

    sifa za kupata chuo cha afya ngazi ya cirtificate

    Je kama HAJASOMA Physics na Chemistry still anataka kusomea afya
  2. Meshack mtobwa

    Je, ni halali kwa Mkuu wa shule kumtoa mwanafunzi nje ya chumba cha mtihani na kumcharaza viboko kisa kusinzia?

    Samahani naomba nitoke nje ya mada kidogo japo wote tupo kwenye elimu. Nina mdogo wangu amemaliza form four na anapenda kusomea course za afya certificate but hajasoma Physics na Chemistry ila ada C,B na D za massomo mengine ikiwemo biology. Je ni course gani anaweza kusomea za afya?
  3. Meshack mtobwa

    Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

    Nataka na Mimi kujiunga apo niambie. Nataka anza certificate so nataka kujua gharama ya ada kwa mwaka mfumo Wa ulipaji na nimwez wangapi wanaanza,vigezo vya kujiunga na namna ya Ku apply Nisaidie ndugu yangu
  4. Meshack mtobwa

    Msaada: naomba kujua gharama,vigezo na namna ya Ku apply UDSM. course ya IT.

    Habar naomba kujua gharama za certificate kwa course ya IT pale UDSM. pia vigezo Mimi nina D3 NA B1 katka mtihani Wa form 4. Pia natamani kujua jinsi ya Ku apply na wakati gani wanaaza au vyuo vinafunguliwa. Nisinge penda kujibiwa majibu mabaya maana ninahaja ya kujua munisaidie c na uzoefu...
  5. Meshack mtobwa

    Natafuta kazi yoyote

    Habar wana jamii forum mimi ni kijana wa miaka 2 2 nina zungumza kiswahili na kingereza vzur.ninaelimu ya form four Nina certificate ya computer, ant_coruption.takukuru.natafuta kazi yoyote ya shift ambayo nitakuwa na uhuru wa kuingia muda wowote.iwe ya kiwandani supermarket au popote...
  6. Meshack mtobwa

    Napendekeza sare kwa Vyuo Vikuu vyote na VETA

    Samahani mkuu hilo jibu ni la IVAN DON
  7. Meshack mtobwa

    Napendekeza sare kwa Vyuo Vikuu vyote na VETA

    THANKS. kwa mchango wako ila kumbuka asilimia kubwa ya makahaba ni wanachuo
  8. Meshack mtobwa

    Napendekeza sare kwa Vyuo Vikuu vyote na VETA

    Ata kinda ana akili ya kumjua mama yake
  9. Meshack mtobwa

    Napendekeza sare kwa Vyuo Vikuu vyote na VETA

    ASANTE KWA USHIRIKIANO WAKO. Ila kaatambua kuwa elimu ya darasani haikufundishi kufaulu maisha ya mtaani wala elimu ya mtaani haikufanyi kufaulu darasani na so wote wenye hekima wana elimu au wote wenye elimu wana hekima.
  10. Meshack mtobwa

    Napendekeza sare kwa Vyuo Vikuu vyote na VETA

    Asante kwa mchango wako brother kidogo umejarbu kunielewa lengo langu na kutoa mchango wako angalau kinaga ubaga kuelimisha jamii yetu ndo lengo. Nahisi kunawatu hawajasoma point yangu ipo wapi katika hilo.
  11. Meshack mtobwa

    Napendekeza sare kwa Vyuo Vikuu vyote na VETA

    Chakwanza unatakiwa uelewa you can't judge someone kwa salamu au physical appearance na uelewe tofauti ya Guy na Gay na
  12. Meshack mtobwa

    Napendekeza sare kwa Vyuo Vikuu vyote na VETA

    Maana yangu ni kwa college na university
  13. Meshack mtobwa

    Zitambue sababu za Kwanini usome UDOM?

    Please gave me all instructions coz noshajarbu kuingia hadi uko ila cjui.
  14. Meshack mtobwa

    Zitambue sababu za Kwanini usome UDOM?

    Nilimaliza 4 mwaka 2014 nikapata d 2 na mwaka 2016 nikarisit nika pata b na d .
Back
Top Bottom