Recent content by MENGELENI KWETU

  1. M

    Paul Makonda amekutwa na nini? Kapoa ghafla!

    Ni heri kuwaombea Azzory na Saanane Ben waliopotezwa mazima.
  2. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco customer care is https://jamii.app/JFUserGuide off...!!! Nawapigia zaidi ya 15min now kwenye options zote za Kiswahili na Kiingereza lakini naambiwa mnahudumia wateja wengine..ni uongo kabisa..mmeweka Simu zenu kwenye busy tone/answering machine mpo busy as if kuna wemgine mnawahudumia kumbe ni uongo...
  3. M

    Nawaelewa sasa “Mvuto wa Rais kupungua“

    Nimekupata Mkuu Pasko hapo wenye..mivuto ya ukweli tutaiona Oktoba 2025......
  4. M

    Jerald Hando wa Wasafi Media amshambulia vikali Salma Said wa DW kwa kuponda tamasha la Kizimkazi

    Gerald Hando na Maulid Kitenge sasa tena sio waandishi wa habari /news anchors rather they are news comedians.
  5. M

    Rais Samia: Mabadiliko ya mawaziri si adhabu

    Hana jipya kabisa huyo Maushungi
  6. M

    Ardhi kuna rushwa rushwa rushwa narudia tena rushwa sijui kama Jerry Silaa unajua

    Mbona na Jerry nae anasemwa kwamba kwenye mambo ya rushwa kwamba yupo vizuri..
  7. M

    Je, Wajua Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu? Ili Kuepuka Kuchanganya Dini na Siasa, Kuna Haja Waumini Tuambiwe Ukweli Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu?

    Mkuu Pascal Mayalla siingilii kwa namna yoyote ile kwa ulilosema ILA Waraka huu wa Maaskofu umenifanya binafsi niwe SO PROUD kuwa Mkristu Mkatoliki.. Wakatoliki TUMEHESHIMISHWA sanaa na Waraka huu Asprin Tumsifu Yesu Kristu.
  8. M

    Mzee Butiku: Watanzania wengi hawajaridhika Mkataba wa Bandari, tusahihishe ama tuache kabisa

    Yoyote yule aliyeshiriki kuanzia maandalizi ya mkataba huu mpaka ukaridhiwa na kupitishwa ni mshenzi... Mkuu Retired nimeshajibu.
  9. M

    Mpasuko mkubwa kwenye Baraza la Mawaziri kisa kuuzwa kwa Bandari

    VP Dr Mpango yupo kimya kabisa katika hili.. Ila Mzee wa kushupaza shingo PM kama kawa ngoma yoyote ya serikali yee anaicheza tu.
  10. M

    Msaada wa hii alert katika Land Rover discovery 3

    Ni security reader hiyo Mkuu.. Nimepata pia kuiona kwenye Nissan Xtrail.. Haina madhara.
  11. M

    Kwanini Rais Samia ni mzito kuchukua hatua?

    Uwezo wake ni mdogo na nimepata kusikia anadanganyika kirahisi sana
  12. M

    Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

    Nimeona msalaba wake ule Mwaka aliozaliwa hauonekani vizuri..lakini ni Mzee
  13. M

    Mwanangu Makonda, tulia kama tulivyotulia... Vumilia kama tulivyovumilia

    Na Rais Samia akitaka kujua hasira ya watanzania kwa huyu mwehu Bashite,basi mpe hata cheo cha Mtendaji wa Kata.
Back
Top Bottom