Recent content by mechard Rwizile

  1. M

    Nilicho jifunza kutoka Rwanda

    Wanajitambua
  2. M

    CHADEMA haijatoa tamko lolote kuhusu mgao wa Maji na Umeme. Je, wamesahau wajibu wao kama chama kikuu cha upinzani?

    Unataka Mheshimiwa Mnyika, atumie jukwaa lipi? Agenda ya CHADEMA ni kudai Tume huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Haya yakipatikana bila shaka taifa letu litaendeshwa vizuri. Na kila tamko litakalo tolewa na chama litaheshimika hadi serikalini.
  3. M

    Rais Samia akiri kuwepo upungufu wa umeme, Makamba alisema ni 'scheduled maintainance'

    Umesema kweli, watendaji wetu wa serikali, tume ya taifa ya uchaguzi, jeshi la polisi, mahakama za mwanzo, watendaji wa vijiji wameliangusha taifa kuliko wachezaji wa timu ya Taifa.
  4. M

    Rais Samia ikiwezekana kwepa kuwalenga Wasukuma moja kwa moja kwenye hotuba zako

    CCM, ilidhani inafanya mzaha tu, kumbe inapanda, inaweka mbolea, inamwagilia maji na kupalilia mbegu ya ubaguzi, bila gharama yake ni kubwa. Tunalo hilo.
  5. M

    CHADEMA kumwomba Rais Samia aingilie kati kesi ya Mbowe ni kutaka Katiba ya JMT ivunjwe. Nchi hii ina mihimili mitatu iliyo na mamlaka kamili

    Kwani Kesi ya Rugemalira na kesi nyingine ambazo DPP anazifutia mashitaka, haziwi mahakamani? Mbona mnajirudisha nyuma jamani?
  6. M

    CHADEMA hii si ile iliyokuwa enzi za Dkt. Wilbroad Slaa

    Kama chama kina hali mbaya kama unavyosema, wewe unahangaishwa na nini? Kwa taarifa yako chadema kina nguvu na kinaaminika kwa watu kuliko wakati wa Dr. Slaa. Kama wewe ni mtaalam wa takwimu Dr. Slaa alipata kura ngapi ukizilinganisha na baada ya kuondoka kwwake? Kipindi cha Dr. Tulikuwa na...
  7. M

    Rais Magufuli kushangiliwa kwa nguvu A. Kusini ina maana gani kwa CHADEMA?

    Unaongelea "maji ya kifuu nii bahari ya chungu" au ni kweli unaoongelea dunia nzima?
  8. M

    Kazi iliyofanyika tetemeko la Kagera ni kubwa, kuilinganisha na msaada wa Msumbiji, Malawi na Zimbabwe ni upuuzi

    Hoja ni AKIBA YA MANENO waliopelekewa msaada Zimbabwe, Malawi na Msumbiji wakisikia maneno yaliyosemwa Kagera, watatukamata uchawi. mimi huwa najiuliza kulikuwepo na sababu gani kuyasemwa yaliyosema kwa waathirika?
  9. M

    Mwanahabari aliyeandika ‘RC amekataza kuvaa sare za vyama kwenye uzinduzi wa Mwenge’ akamatwa akidaiwa kupotosha

    Elimu ninayoisema sio vyeti na wingi wa muda wa kukaa shuleni! Zamani katika Uhasibu wa NBAA ilikuwa ni lazima kabla ya kufanya mtihani wa uhasibu wa ngazi yeyote ile inayotambuliwa na NBAA ilikuwa ni lazima uthibitishe kuwa umefundishwa uhasibu na mtu anayetambuliwa na NBAA kwa saa zisizopungua...
  10. M

    Kama hukuwahi kuona watumwa kaangalie wazawa wanaofanya kazi kwa 'baadhi' ya wawekezaji

    Utambulisho wako na mchango wako vinaendana kabisa. Wateetzi wa wazawa wajibu kwa usahihi hoja hizo ulizoziweka na tuanzie hapo kutafuta suluhu. kabla ya hapo ni ukaburu tu.
  11. M

    Mwanahabari aliyeandika ‘RC amekataza kuvaa sare za vyama kwenye uzinduzi wa Mwenge’ akamatwa akidaiwa kupotosha

    Watu wenye akili zao wanapo dharau sughuli za kisiasa na kuachana nazo wanatoa nafasi ya kutawaliwa na watu wenye elimu ndogo. hebu fikiria Mkurugezi wa halmashauri anasimamaje hadharani kutetea sare za CCM? Zinaongeza nini, zinamsaidiaje kuboresha utendaji wake, zinawaleteaje maendeleo...
Back
Top Bottom