Recent content by MCAIR

  1. MCAIR

    Kuongezeka mtoto uzito

    Sasa! Kama hata kliniki mtoto wako anapelekwa, ina maana hata muda wa kuandaa lishe ya mtoto na kujua afya yake hufuatilii. Chukua muda wa kuandaa lishe ya mwanao, unategemea 'dadaa' ndo akufanyie kila kitu, nae pia anapenda kuboresha afya yake.
  2. MCAIR

    Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa!

    Aaah! Jamani eeh! Huyu nguruwe 'swine', si ameharamishwa katika vitabu vya dini. Kwenye biblia hadi kuraan.
  3. MCAIR

    James Kisaka Hatunaye

    Inna lilah wa-inna ilaihi rajuun. Aaameen!
  4. MCAIR

    Speech ya JK kwenye msiba wa Mandela.....January vs Premi

    Hebu jitungie na wewe msiba wa kiongozi wako hapa Afrika ambaye historia na sehemu ya mafanikio ya ukombozi wa nchi yake imechangiwa na Tanzania. Acha hizo wewe.
  5. MCAIR

    Speech ya JK kwenye msiba wa Mandela.....January vs Premi

    Kuna watu humu jf wanaboa kweli. Hivi walitegemea kama Rais atoe hotuba gani nzuri kama hii.Lazima aeleze umuhimu wa Tanzania na Nyerere kwa Taifa huru la watu weusi wa Afrika Kusini. Aaaah... Acheni kubeza eti speech ndefu, lazima tuioneshe dunia jinsi gani tulivyojitoa zaidi ya muhanga kwa...
  6. MCAIR

    Speech ya JK kwenye msiba wa Mandela.....January vs Premi

    Mbona Mheshimiwa Rais wetu, JK yupo safi sana ktk kutuwakilisha kimataifa. Tatizo letu waTZ ni kukosoa na kuangalia wapi mtu atachemka.Charity begins at home.Good speech na kalitendea haki Taifa ktk msiba wa Madiba.
  7. MCAIR

    Kibagadu

    Tatizo hakuna pa kuendeleza sanaa yao, shule nazo zimefutiwa masomo ya sanaa. Daah! Shida tupu!
  8. MCAIR

    Nafasi za Kazi BOT zaidi ya 50 - Apply now

    Hakuna upendeleo B.O.T jamani ni cv zako na kufaulu usaili wao tu! Basi unakula maisha pale. Ni chombo cha uma kwa watanzania wote, mimi naamini hivyo. (y).
  9. MCAIR

    Kama Si Mswahili Usisome Mlolongo huu!!!!

    Tanga biashara kuu maembe.
  10. MCAIR

    Bingwa wa kukosea

    Mkuki kwa mchungu kwa binadamu nguruwe.
  11. MCAIR

    Hello...! JF.

    Ni ukurasa mzuri na wa manufaa, tukaze buti wanajf.
Back
Top Bottom