Recent content by Mc Donald

  1. Mc Donald

    Nina Ll.B, natafuta internship

    school of law its expensive.. pengine ni moja ya sababu ya kutafuta kazi kwanza na pi hofu ya kushindwa kwakuwa sheria ni practise.. sio mbaya kama akipata ujuzi wa procedure zinavyokwenda then akijipanga aendelee sababu ni kweli s.o.l ni muhimu na ni lazima. msaidieni panapowezekana lakini...
  2. Mc Donald

    Naombeni kazi

    pole bwana, ww sio useless.. unafaida yako katika jamii ila tu bado haijaonekana.. usikate tamaa pambana kwa nguvu zako zote na akili zako zote.. ipo siku nuru yako itang'aa. Mungu akubariki.
  3. Mc Donald

    Kazi za mwenye Diploma ya Sheria

    habar wanajamvi,.. nimemaliza diploma ya sheria chuo cha uongozi wa mahakama mwaka 2014 huu. natafuta kazi yoyote itakayotaka vigezo vya diploma ya sheria. tafadhali naomba msaada wenu sana.
  4. Mc Donald

    Best chambers never fail

    unamaanisha nini??
  5. Mc Donald

    Kati ya mpangaji na mwenye nyumba, nani anayeruhusiwa kuvunja mkataba

    ni kweli.. japokuwa hausemi lakini indirect unasema kwa kuzingatia mashart yake kan yatarukw
  6. Mc Donald

    Best chambers never fail

    upo wap na ni mazoez yapi.. yaan inategemea na kiwango cha elimu! unasom wap!
  7. Mc Donald

    Free key for tuneup utilities 2014

    kabisaa.. kusaidiana ni hazina.
  8. Mc Donald

    Free key for tuneup utilities 2014

    Wale watanga tanga wenzangu tusipojua pakushika nimewaletea zawadi japo kiduchu tu.. jaribu key hizi kwa AVG TUNEUP UTILITIES 2014: ​ TMACO-HRNAV-OZGB2-ADQKE-WC2K2-XCY2J
  9. Mc Donald

    Best chambers never fail

    Inaitwa DIVINE CHAMBERS ADVOCATES Chief Chambers Counsel (CCC): Raulencio Philemon, LLB Hon UDSM, LLM MU. Transit Hotel, ground floor, along Dar-es-salaam Arusha Road, P.O BOX 348, Korogwe-Tanga Tanzania-East Africa Cell: +255 713 855520 +255 755 035872 +255 784 322025 Email...
  10. Mc Donald

    Employment and Labour Relations ACt (Amendments)

    ingia hapa Parliament of Tanzania then shuka mpaka chini kabisa kwenye orodha ya Glossary na utaona neno ammendments, fungua na uandike Act yako, itakuletea majibu. au nenda moja kwa moja hapa Parliament of Tanzania
  11. Mc Donald

    Jifunze kucopy mafile ya kwenye flash bila mwenzio kujua fasta

    safi sanaaaa wabaniaji wa hapa chuo wameisha ss... lakin unadhani hakuna altelnative ya yy kujua kuwa umemwibia vitu??? km vile program zingine za kukudaka au kukuzuia??? hembu fikiria na uchunguz hilo alafu ndo unijibu!!
  12. Mc Donald

    The best optimizer for win 7 ultm

    nitumie optmizer gani bomba?? kwa toshiba win 7 ultmat... na key zake itasaidia zaidi.. au kama in crakika!! naamini mabingwa wa humu ndani hakuna popote!!
  13. Mc Donald

    cracking avast 9 premium 2014

    nimejaribu hiyo zenix nikawa nafuata maelekezo kwa youtube yao lakini wakati wa kuifungua hiyo crack niliyodownload haikunipa matunda yoyote kama niliyokuwa nayategemea toutube yao...
  14. Mc Donald

    windows 7 all editions

    asante, nilikuwa natumia starter, nikataka ku upgrade mtu mmoja akaniambia hakuna tofaut yoyote, ss naweza ona kuna utofauti.. nita upgrade to ultmt!
  15. Mc Donald

    windows 7 all editions

    hivi kuna tofauti yoyote kati ya windows 7 starter, home, proffesional na ultimate? nn tofaut yake, na ipi nzuri zaidi?
Back
Top Bottom