Recent content by mburujaa

  1. M

    Naomba kujua ukweli kuhusu hii niliombaga mwaka jana ila jana nimetumiwa email naombeni mnijibu ta

    Mimi pia wamentumia ila sina imani nao kwa vigezo vifuatavyo. 1. Wamesema watafungua ofisi Tanzania January2016 wakati huohuo semina itafanyika januari 5 ,2016, swali : kwanini semina isifanyike TZ na wakati tangazo lao la kazi walisema hii onawahusu was TZ tu na ni nafasi ziko 100. It means...
  2. M

    Hapa kuna usalama kweli?

    Mimi pia nimetumiwa hiyo email. Niko njia panda. Japo kweli niliapply. Kwanini wanatanguliza pesa? Semina bila interview? Tusaidiane atakae pata info za kuaminika. Mimi nilikua nawatafita Hadi nimekutana na ninyi huku
  3. M

    NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Hivi wasomi wengi hapa TZ ni waislam au wakristo. Tafakari ujijibu mwenyewe tusiwe wa nafki.
  4. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natafuta mwalimu sekondari tubadilishane mmi niende manyoni yeye aje Mufindi(mafinga). MAWASILIANO 0754296850
  5. M

    Uwezekano wa kuhama Mfuko wa Hifadhi ya Jamii

    Salaam. Hivi naweza kuhama mfuko wa jamii?
  6. M

    Naomba mnijuze kuhusu PSPF

    Hivi mtu anaweza kuhama mfuko wa jamii aliopo?
  7. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NJOO KIGOMA WILAYA YA BUHIGWE MIMI NIJE MOROGORO wilaya yoyote. 0784 366 703
  8. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NJOO BIHARAMULO ndugu aje SINGIDA. 0784 366 703. AJIRA MPYA SEKONDARI
  9. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nafafuta mtu wa kubadilishana wilaya ajira mpya. nimepangwa BUHIGWE-KIGOMA. Nataka kuja Morogoro Wilaya ya Mvomero, Morogoro vijijini, AU morogoro MV. MAWASILIANO 0784366703. Ishu za kufuatilia TAMISEMI mimi rahisi tu kufika niko karibu. WAHI TUOKOE MUDA
  10. M

    Ombi langu kwa TAMISEMI juu ya ajira kwa waalimu wapya.

    aaa! Aaa! Aaa! *¤'`*¿~.;+¤**¡!
Back
Top Bottom