Recent content by mbarika

  1. mbarika

    Ngozi ya mtoto ya vidole kukakama

    Peleka mtoto hospital Severe malnutrition hiyo Ukicheza unampoteza huyo mtoto Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  2. mbarika

    Kwanini wafanyakazi wa Zanzibar wawekewe nauli za usafiri kwenda kazini na kurudi wa Tanzania bara wasipewe?

    Ila wakinunua magara ya billions of money hatufilisiki? Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  3. mbarika

    Ni nani wa kujibu hoja za Tundu Lissu?

    Ila sisiem ndiyo wanatakiwa kukodisha watu sio?? Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  4. mbarika

    Utafiti Mpya: Wanaume wanaopenda kufanya Mazoezi wanawaridhisha zaidi Wapenzi wao kuliko wale ambao wako wako na hawana Ratiba yoyote ile

    Ndiyo tabia zenu fisiem Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  5. mbarika

    Muuza madafu: Mimi mwenyewe nilipomuona yule Komandoo nikagundua nimefanana naye, ila Siyo Mimi japo nacheza Kareti na Boxing!

    Samweli nakuona Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  6. mbarika

    Ushahidi: Tanzania inaongozwa na Viongozi Wasio na Sifa za kuwa viongozi

    Watu wanatengeneza helkopta wanatengeneza magari lakin no support mfano masoud kipanya alitengeneza gari yake badala ya kumpa support wakamkejeli wale wazee kule iringa walitengeneza umeme kusaidia kijiji duuuh walipigwa vita tena na vitisho wakaacha Yule jamaa pale songwe katengeneza helkopta...
  7. mbarika

    Ushahidi: Tanzania inaongozwa na Viongozi Wasio na Sifa za kuwa viongozi

    Tatizo ulevi hawa watu wekuwa ovyo kabsaaa Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  8. mbarika

    Ushahidi: Tanzania inaongozwa na Viongozi Wasio na Sifa za kuwa viongozi

    Soma hiyo JE WAJUA? Kama ulikua hujui kuwa TANZANIA SIO NCHI MASIKINI ILA WATU WAKE NDIO MASIKINI wacha nikufahamishe"" WATU wengi huamini kuwa Tanzania ni nchi MASIKINI, Lakini sio kweli Tanzania sio nchi MASIKINI, Tanzania ni nchi tajiri tena zaidi ya MAREKANI, Ila watu wake ndio MASIKINI...
  9. mbarika

    Usiende kukopa kwa hizi kampuni maarufu za mikopo hasa kwa Watumishi wa Umma

    Wale ni wahuni balaa saiv watu washashtuka hawaend kukopa kwao sasa wanawasukumia wateja walipe upya nao wapate kula yaan mgawane mshahara wako na wao Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  10. mbarika

    Kama nchi mbili ziliungana zikazaa Tanzania kwanini Zanzibar iwepo ila Tanganyika ife?

    Hivi unajua kuna ardhi ipo bagamoyo ni ya Zanzibar Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  11. mbarika

    Kama nchi mbili ziliungana zikazaa Tanzania kwanini Zanzibar iwepo ila Tanganyika ife?

    1+1 ni ngap?? Wewe unataka 1 au 3 hivi unajua hesabu wewe Serikal ni mbili tuu Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  12. mbarika

    Kama nchi mbili ziliungana zikazaa Tanzania kwanini Zanzibar iwepo ila Tanganyika ife?

    Kwa taarifa yako Lile ni kolon Kuna maslah pale huwez ona kwa haraka Hatuwaachii ng'ooo Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  13. mbarika

    Paul Makonda amekutwa na nini? Kapoa ghafla!

    Wewe mwenyewe huna Upendo Kama kweli unampenda ungemuombea msamaha kabla hajaenda huko kwa sababu ya unafik wako unakuja kupima upepo hapa ujue aliambiwa nn kwa mgongo wa kumuonea huruma Pumbavu Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  14. mbarika

    Paul Makonda amekutwa na nini? Kapoa ghafla!

    Watz ni wanafiki sana umuombee nn huyu muhun?? Mmojawapo ni wewe mleta mada Mnafiki mkubwa wewe eti tumuombee Pumbavu kabsaa Mtu ameshindwa kuthibiti mdomo wake unataka watu wamuombee huo ni ujinga Anajiona yeye ni bora kuliko wengine Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  15. mbarika

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Tatizo ameshakufa Hata angepata 100% nothing changed Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom