Recent content by Mb-one

  1. Mb-one

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Goba Mageti

    Tuma na Google location ya kiwanja au hata picha ,jamn mbona kama mnauza pipi
  2. Mb-one

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Kama GPS imejam si watumie GALILEO au GLONASS
  3. Mb-one

    Marekani wamegundua 2.3 billion tons madini aina ya rare earths

    Tofautisha kati ya production na deposits/reserves
  4. Mb-one

    Marekani wamegundua 2.3 billion tons madini aina ya rare earths

    Pia elewa China ina own 80 % of rare earth elements deposits worldwide
  5. Mb-one

    Taja jina la mtu ambaye hujawahi kukutana nalo zaidi ya mara moja

    Bageni Jina la kisukuma mbona ni maarufu tu usukumani
  6. Mb-one

    Eng. Hersi ndani ya PSG, akutana na kina Mbape, Hakim

    Huyu eng.hersi afanye juu chini arudi na mbappe tunamhitaji wananchi
  7. Mb-one

    Baadhi ya matukio yatakayotokea mwaka huu 2024

    Nas c reenshoot Ole wako isitokee hata moja
  8. Mb-one

    Ukienda sheli usiseme weka full tank unaitwa mwambie hivi

    Hebu tujuzane wakuu hawa watu wanaibaje,na hv ni wezi kweli kweli.......yaani mim nahamaga shell hadi basi ,hususani wadada yaan ni shida
  9. Mb-one

    Je, Geita ina fursa gani?

    Wapo wenye pesa ndio,ila matanuzi mwanza,uchawi usiulize kwa wasukuma mkuu,vbaka + majambaz sio kivile,matukio ya hovyo yapo
  10. Mb-one

    Je, Geita ina fursa gani?

    Geita ni mji wa kiserikali na kimadini pia ,ila mzunguko wake haueleweki kwa sababu alisimia kubwa ya wakazi wa pale ni wafanyakazi wa mgodini GGM na serikali hvyo Mara nyingi siku za Wiki unakuta pamepoa....lodge zinalipa sana hapo geita,ila mambo ya maduka sidhan sana
  11. Mb-one

    Je, Geita ina fursa gani?

    Geita hamna mzunguko,Mara 100 kahama
  12. Mb-one

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Yaan Kuna mtu goli lake la kwanza lianchukua muda mfupi kuliko maisha ya mayfly dolania
Back
Top Bottom