Recent content by Mawembasa1979

  1. Mawembasa1979

    Hakuna tena cha kuikoa Ukraine. Hata Marekani wameshajua ndio maana wanawapa misaada hewa

    Hata Urusi mwanzoni mwa vita alipata tatizo hilo la watu kukimbilia nje ya nchi kwa kuhofia kupelekwa mstari wa mbele wa vita. Viongozi wa Urusi waliling'amua hilo haraka na kuanza mikakati ya kuwaongezea maokoto na incentives nyingi wapiganaji. Zaidi, lilipotokea tukio la kuuliwa watu na...
  2. Mawembasa1979

    Jenga gorofa moja kwa gharama nafuu

    Wewe ni jamaa yake Mwandulami wa pale Mtwango Njombe. Yeye alijijengea kaburi lake na la Wake zake akiwa bado hai.
  3. Mawembasa1979

    Jenga gorofa moja kwa gharama nafuu

    Unatakiwa kutenga si chini ya shilingi milioni 20.
  4. Mawembasa1979

    Jenga gorofa moja kwa gharama nafuu

    Hapana Mkuu, alichoandika ni sahihi kabisa hasa kwa sisi watu ambao cash flow yetu haipo uniform.
  5. Mawembasa1979

    Jenga gorofa moja kwa gharama nafuu

    Dah, hiyo Item ya mwisho umenifurahisha sana. Nitaitendea kazi Mkuu.
  6. Mawembasa1979

    Vifaru Abrams vya Marekani vyaondolewa vitani Ukraine baada ya kuchomwa mno na droni za Urusi

    Huyo Generali nasikia ametokomea kusikojulikana.
  7. Mawembasa1979

    Dabi ya Yanga na Simba ilikuwa safi mno, timu hizi zinazidi kupendwa!

    Hii picha ya mwisho dah, jamaa anaonekana ni mwanachama upinde!
  8. Mawembasa1979

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Halafu silaha nyingi alizopelekewa Ukraine zilinunuliwa kwa magendo na Hamas.
  9. Mawembasa1979

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Mkuu katika wote hao Yemen (Houthi) nawakubali sana. Wangekuwa na uwezo alionao Iran wangeisumbua sana Mashariki ya Kati. Jamaa wana Determination ya hali ya juu.
  10. Mawembasa1979

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Ila hao Yemen (especially Houthi) ni pasua kichwa aisee!
  11. Mawembasa1979

    Nipeni ushauri kutokana na uzoefu wenu katika ujenzi

    Mkuu nyumba ya vyumba vinne ni kubwa sana. Jenga ya vyumba vitatu kimoja self na viwili vya kawaida. Ila kama kipato chako kina mtiririko mzuri jenga hiyo ya vyumba vinne (vitatu self na kimoja cha kawaida).
  12. Mawembasa1979

    PICHA: Nchi kama hii hata magonjwa utayasikia redioni tu

    Vile vile Makete (Njombe) kuna maeneo kama hayo.
  13. Mawembasa1979

    Utabiri: Simba Vs A Ahly, Simba atafungwa goli chini ya 3 Yanga atapata sare

    Avatar yako imenikumbusha Mtunzi wa Kitabu muhimu sana (Fundamentals of Engineering Science) nilichokisoma nikiwa Technical Secondary School (O-Level). Kitabu kilikuwa kimetulia sana kiasi kwamba ukienda A-Level kwenye Physics unateleza tu.
Back
Top Bottom