Acha uongo mfano mimi natumia app ya m pesa nikitoa line niliyoisajiri kwenye hii app basi app haifanyi kazi mpk niweke tena line husika ndy app inaweza kufanya mwamaala
Habari wanajamvi leo nilikuwa natoka msoma naelekea mwanza bahati nzuri nikakuta rais akihutubia wananchi Bunda.kitu kilicho nivutia na kunishangaza mpk kuandika huu uzi ni walinzi wake tumezoea kuwaona jwtz wakiwa kwenye sare tulizo zizoea leo nimeona sare tofauti kbs hivi wale ni wanajeshi wa...
Mwanasiasa ni sawa na mwanamke malaya kila akivaa ngua akahisi imempendeza lazima atakuwa anajipitipitisha mbele ya wanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu huwa najiuliza hivi ni kwanini maandishi ama miandiko ya hawa wenzetu wanaitwa madokta huwa haieleweki au huwa wanafundishwa hivyo chuoni? Kuna baadhi ya watu pindi wanapokuwa wako sekondari walikuwa wanasifika kwa mwandiko mzuri shida wakitoka kwenye vyuo vya udaktali miandiko yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.